Dath Training Centre :
*KARIBUNI KATIKA CHUO CHETU CHA UREMBO CHA DATH TRAINING CENTRE KILICHOPO MBEZI-KWA MSUGULI (DAR ES SALAAM)*
*CHUO CHETU KIMESAJILIWA NA UKIMALIZA CHUONI KWETU AJIRA NI UHAKIKA*(*TUNAKUTAFUTIA KAZI*)
KINATOA KOZI ZIFUATAZO*
1. MAMBO YOTE YA SALOON ADA YAKE NI 200,000/= MIEZI MITATU)
Kwenye hii kozi utajifunza vitu vifuatavyo;
.Kusuka mitindo yote
.kubana nywele,kuseti,kuweka dawa
.kubond weaving,kubodry,kuweka mirija,kunyoosha nywele
.Kupamba biharusi
.full makeup & simple makeup
.kufunga malemba na hijab styles
.kutengeneza vibanio
.kuweka rangi Kwny nywele/breach
.Kutengeneza wig la hair band
2.KOZI YA MAKEUP NA MALEMBA TU ADA 70,000/=MWEZI MMOJA
Hii utajifunza;Kupamba Biharusi
.simple& full makeup
.malemba na hijab styles
3.KUPIKA NA KUPAMBA CAKE 250,000/= Wiki tatu
4.KUSHONA NGUO 250,000/= miezi mitatu
5.KUCHORA PIKO NA HINNA ADA 100,000/=mwezi mmoja
6.KUPAMBA KUMBI ZA SHEREHE NA GARI LA BIHARUSI 150,000/= MWEZI MMOJA
Hii utafundishwa aina tofauti tofauti Ya mapambo ya ukumbi na kupamba gari la biharusi na tutakua tunaenda ukumbini baadhi Ya weekend kwa ajili practical zaidi
7.KUSUKA TU MITINDO YOTE 100,000/= miezi miwili
Hiiutajifunza kusuka mitindo ya nywele yote tu,
8.KUBANDIKA KOPE MOJA MOJA 100,000/= WIKI MBILI
9.KUTENGENEZA KUCHA NA KUPAKA RANGI(manicure&pedicure)150,000/= mwezi mmoja
10.KUfanya INSTALLATION ZA WIG na mibano ya wig 100,000/= wiki mbili
MAHITAJI;
-Seti ya makeup kwa ajili Ya mazoezi 65,000/=( hii utakavolipia tu utapewa hvi vifaa vinakua vyako kabisa)(HII NI KWA KOZI YYTE HAPO JUU AMBAYO UTAJIFUNZA NA MAKEUP)
-Ila vifaa vya nywele namaanisha rasta,uzi,jelly ni jukumu la mwanafunz atajinunulia yy wkt anafanya mazoezi akifika darasa la kusuka
-Tisheti la kuvaa muda wa darasani 15,000/=(Linavaliwa muda wote ukiwa darasani na unalipata chuoni)
-Fomu Ya kujiunga na chuo 5000/=
-Cheti 5000/=
-Kam utakaa Hostel kwa mwezi mmoja 60,000/= (hii inahusisha kitanda,godoro,maji na umeme lakini kula mwanafunzi anajitegemea
TUNAPATIKANA MBEZI KWA MSUGULI (DAR ES SALAAM)
TUNAPATIKANA KWA SIMU NAMBA 0682050418
Instagram @dathmakeup
2026-10-19 22:39:23