@aqonlinetv: Mke alipekuwa simu ya mumewe, akakutana na messages za "My love" "My Dear" akaanza kumchamba aliyetumiwa message hizo, huku akiwa hamjui huyo mtu ni nani kwa mumewe... Kilichomkuta, ni majuto.. ACHENI UPEKEPEKEEE #trending #viral #viralvideo #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #swahilitiktok #islamic #islamic_video
Aq Online Tv
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 16:18:42 GMT
Music
Download
Comments
JUMA MKANGO 1 :
Very interesting story!
2026-10-17 22:36:01
0
minka mussa :
kwahiyo mnamaanisha nini hapo
2026-10-17 18:42:48
2
nasrya thabit :
mashallah mashallah adi nimelia
2026-10-17 18:44:14
0
mohammedwere145 :
my dear means rafiki
2026-10-17 19:47:26
0
Salma Mmanga :
kwanini asiniambie mda wote uo aend uko
2026-10-17 17:38:35
4
d@ ❣ §huu 💕💗 :
mmmmmmmh
2026-10-17 17:05:53
2
najwaa🤍 :
ndo mtu aolewee asijue ndugu wa mume jamani story izi
2026-10-17 18:07:30
2
mrs_fad :
Dada aliyemlea mumewe kama mzazi wake ndio aolewe Aishi na mumewe mda wote huo asimjue
2026-10-17 18:54:08
2
fatuma zainabu :
mashallah ukty fatuma mdida
2026-10-17 17:19:29
2
fetyhb :
subhanallah
2026-10-17 18:10:30
1
Mrs.ally♥️♥️ :
Bora huyu Kuna huyu huku sasa yn ndo acheni tu
2026-10-18 01:46:59
0
fayhat1 :
kwaiyo cku ya ndoa akuwepo ndomana akumfaham kwaiyo na akutambulishwa pia
2026-10-17 23:36:41
0
Mujarrab online tv :
msg sent
2026-10-17 18:48:30
0
zeynab10151 :
Km kanipa had nauli naenda vizuri.. Kwan huyo mtu hajui wivu jmn angenisameh tu😂😂
2026-10-17 20:43:46
0
jannat :
sasa uyo dada asimjue jamani. heee hiii Haiwi. na kwanini wItane ivo my darling. iko namna bwana ukhti
2026-10-17 21:07:58
0
user1511306660827 :
mashahallah
2026-10-17 19:55:57
0
Amour Hamza :
b shehat as kum
2026-10-17 20:11:49
0
yusrahamisi3 :
nikama national vile😂😂😂😂😂
2026-10-17 18:17:24
2
Tausi M chepachepa :
Malahabaaa
2026-10-17 17:24:18
1
Tabia Kawinga :
nampongeza. sana. huyo mlezi
2026-10-17 22:01:17
0
anu :
Pele. uongo. wako
2026-10-17 21:01:54
0
Mastu🌹 :
munapenda kuwapa kipaumbele wanaume Tu mbona wakiona smg Kwa mke hawakubal
2026-10-17 20:59:02
0
mozaBakes :
😁😁😁
2026-10-17 21:16:48
0
Time :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-10-17 18:04:15
0
To see more videos from user @aqonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.