@ladies.on.fire.ne: Hakuna madhabahu yenye nguvu kama pale tunapobeba shida za wenzetu kwenye magoti yetu ya maombi.🙌 pale wanawake wanapoinua sauti zao kwa pamoja na kumlilia Mungu. Tunapoombana na kubeba mizigo ya wenzetu, tunatengeneza ukuta usioweza kubomolewa. 💪❤️ Yakobo 5:16 Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii. #prayers #Maombi#worshipinspirit #fyp #virah