@bocelamathias:

MATHIAS PLUMBING Dodoma
MATHIAS PLUMBING Dodoma
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 17:05:36 GMT
181323
4606
230
169

Music

Download

Comments

j.benjamin169
J Benjamin :
good job, brother
2026-10-18 06:33:44
0
peter_m54
peter :
Safisana
2026-10-18 06:39:46
0
user709570805901
bukuku aka kipala :
fund hajisifiii
2026-10-18 05:11:29
0
officiallyseyd10
officiallyseyd10 :
unyam san nkijenga ntakuchek duuh kumbe sna kiwanjaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-17 20:30:07
1
hawasanga67
Hawa Sanga :
Hongera
2026-10-17 20:22:20
0
songo869
Big Boss Joeli :
Safiiiiii🫡
2026-10-18 05:55:58
0
omardaudtz
Omar Daud129 :
Sasa hii Chemba ya Pambo! Mbona hakuna pipe inayoleta? Na umeikata pipe badala kutengeneza njia ktk Cement, kwakweli sijawahi ona Chemba ya namna hii; na sitaraji kuona…….!
2026-10-18 06:10:58
2
yosiamatama497
🦴Yosiah 🤯 Matama🦴 :
Acha sifa Asa hiyo si ya moja kwa moja ya kutumia bomba. Onyesha chemba nyingine uliyo tengeneza bila kupitisha bomba katikati ili niamini kama we ni mkali kitobo wewe.
2026-10-17 19:32:36
20
sayi.plumbingwate
SAYI PLUMBING-water-point smy. :
chemba mbaya
2026-10-17 18:32:29
7
kattydimples
Kattytablet :
chemba haitakiwi kuungana na ukuta
2026-10-17 21:01:59
2
user3882944738018
KUMMINDA :
Pambana jomb mafundi ndivyo walivyo kuksoa kazi za watu[Like][Like][Like]
2026-10-18 04:03:39
1
alphonc.mtajiry
Alphonc mtajiry :
ok ok ok ok ok tupo dar msasani apo bado kifusi kwa njee tupo pamoja
2026-10-18 04:09:01
5
mokilimuhonimabec
mokili muhoni mabeche :
kaka uko vizr je unapatkana wap
2026-10-18 02:45:34
1
pbaby2799
p💕baby♤♡ :
bila kuchok kaka
2026-10-18 03:45:22
0
user145307859284
user145307859284 :
bro upo sawa
2026-10-18 03:06:57
0
bababwai
katontu warehouse :
fundi chemba nae fundi
2026-10-18 03:54:39
0
nasra.hk.omg
Nasra H,K omg :
mie ntumie namba yako nije kukupa kazi kaka hila usinipige bai sana pesa ndefu
2026-10-18 04:43:38
0
brymilies
Mr B :
Jamaa unajua sana[Fire][Fire]
2026-10-17 23:20:18
0
mirajisalimu7
Sheikh :
Hiii nzuri sana kweli mkali wewe
2026-10-17 17:57:12
6
erickezra83
FUNDI÷ GYPSUM BOARD !! RANGI :
Nakubali 🤝
2026-10-17 19:37:41
2
dadrylikokooog
dardy fundi majumba n.k :
mjomba hao wana wivu kazi safi hiyo
2026-10-17 19:47:18
0
user4081719583181
engineering :
apo kaka kwenye chemba umefel toa ilo bomba apo kat inauwezekana uchafu ukiwa mwingi ukwama
2026-10-18 05:16:29
1
msukumabodaboda
PASCHAEL CHEYO MASELE :
sikia sio kwa ubaya kaka tangaza biashara yako bila kusema mafundi wengine vibaya kuna maneno mazuri ya kutumia kwenye biashara pasipo na matusi itakusaidia.
2026-10-18 02:25:08
4
safari_maps
Safari Maps :
Binafsi huwa sitoi kazi kwa mtu anayekosoa wenzake na hata ukifika site kwangu ukaanza kukosoa kazi ya wenzako tunaishia hapo hapo. Just bring your expertise bila kusiliba wenzio
2026-10-17 19:49:48
0
shollah.used.spare.parts
Shollah Used Auto Parts🚘⚙️🔩 :
Masha Allah unajuwa baba achana nao wenye kuchafuwa kazi achana nao wenye roho mbaya
2026-10-17 20:28:11
0
To see more videos from user @bocelamathias, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About