@mwabili001: “Tusker sio tishio kwenye mashindano ya CAF!” 👀 Msemaji wa Singida Black Stars, Hussein Maasanja, ametupa kijembe kizito kuelekea mchezo wao dhidi ya Tusker FC katika raundi ya pili ya kufuzu Kombe la Shirikisho Afrika. #tuskerfc #singidablackstars #cafconfederationcup #africanfootball

Joseph Mwabili
Joseph Mwabili
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 17 October 2026 17:31:29 GMT
7934
589
66
4

Music

Download

Comments

depaul736
DePaul💫 :
last time Gor Mahia played young Africans walikula nne,,stay guided
2026-10-17 23:01:46
4
mamanginainfluencer
Mama ngina influencer🇦🇺🇦🇺 :
nitarudi after 90 minutes
2026-10-18 04:05:17
2
niganson
Babuu :
All the best black Stars tuwapige awa mashemej
2026-10-18 05:43:57
1
benardochieng859
𝐁𝐞𝐧 𝐁𝐚𝐧𝐝𝐚🇰🇪 :
am a gor mahia fan but siwezi support singida.
2026-10-17 23:49:44
3
josephrioba8
Joseph Rioba :
huyo coach mwambie afanye research pliz 1994 tusker reached final
2026-10-18 09:30:02
1
jamesfin254
Joyel :
we will come back at 5pm
2026-10-18 08:26:14
0
rashidhassan022
Chidy's nails_lounge :
mnachezea wap
2026-10-18 04:34:03
4
brian.n.odhiambo
Brian Odhiambo :
Mimi ni Gor Mahia biggest fan lakini siwezi support sigida hata kidogo
2026-10-18 04:50:07
6
gmoreno61
Moreno :
tusker fc hana team yakumfunga singida fc
2026-10-18 05:35:10
4
kbd_studio_kilindi_tanga
kbd_sound_Record_kilindi :
singida Ushindi Lazimaaa
2026-10-18 02:50:49
4
user7522175059614
David Edward :
sangida Fanya kweli piga hao
2026-10-18 04:51:54
2
jugo1152
JU GO :
waangalie mlio cheza na simba
2026-10-18 06:27:53
1
josephmayengo210
joseé :
kuongelelea ndo nn mwanetu
2026-10-18 09:15:05
1
chankizo26
chankizo@26 :
simba 2024 yanga 2023 lakin iyo tusker nahis 19s
2026-10-17 22:16:51
2
richardmussa12
Richard... :
Cocha wa Tusker akisikia ivo anataman kuacha kaz 😂😂
2026-10-18 03:28:40
0
ismailhussein932
ismailhussein932 :
unajua historia ya tusker kweli?????
2026-10-18 03:16:56
0
juliusb222
JuliusB :
wanaongelelea ndo nigani hyo?
2026-10-17 22:37:43
0
potentially579
potentially :
uhakika aaaaaaa Watanzania tunawakubaliiii 🇰🇪
2026-10-18 08:57:51
0
cent.hamsin
shajo ⁰07 :
singida🥰🥰🥰
2026-10-18 05:34:59
0
evance.goodluck6
Evance Goodluck :
Kasema ukweli
2026-10-18 06:42:29
0
kadehejr
Kadehe_jr :
Sema kenya sijui mlifeli wapi😁 zamani nilikua nawaogopa Gor Mahia. Saivi tukipangwa na timu za East Africa tunashangilia
2026-10-18 09:36:53
0
michaelmwita4
Michael tz :
kenya akuna wakusumbua tz
2026-10-18 07:42:12
0
oliver_ondiko
Oliver Jatusker Ondi :
Tusker FC ndio time ya mwisho kutoka kenya kutinga fainali ya CAF 1994...Wakati ule wakiitwa Kenya Breweries. makinisha utilities wako wakati mwingine
2026-10-18 07:08:13
0
humbrl3
Mr Humble :
tusker ya asali na maziwa🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-18 03:59:17
1
hope_and_beyond
HOPE,&,BEYOND :
singida ishai Fika finali? manake tusker ishawai
2026-10-18 10:11:54
0
To see more videos from user @mwabili001, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About