@mansamussaxivcom: Wewe unaamka saa 11 alfajiri kutafuta pesa, kuna mtu anaamka anakuta kampuni imemuingizia milioni kwenye akaunti yake. 💰 Hajaajiriwa. Hajauza bidhaa. Hajamkopesha mtu. Anamiliki sehemu ya kampuni. Wewe labda ni mteja wa kampuni hiyo hiyo. 👀 Na hapo ndipo tofauti kati ya kufanya kazi kwa ajili ya pesa na kufanya pesa zikufanyie kazi inapoanzia. Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kwamba unaweza kumiliki sehemu ya kampuni kubwa kama CRDB na ukawa na haki ya kupata gawio pale kampuni inapoamua kulitoa. Lakini usidanganyike. Kumiliki hisa hakumaanishi utalipwa kila mwaka, na unaweza hata kupoteza pesa. Swali ni, ungepewa milioni 10 leo, ungenunua hisa au ungefungua biashara? 👇🏽 🎥 Video kamili ipo YouTube. Link kwenye bio. #ElimuYaFedha #Hisa #Uwekezaji #FinancialFreedom #Tanzania

Mussa Baba’s
Mussa Baba’s
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 17:32:39 GMT
1508
89
1
1

Music

Download

Comments

pro.bad.influence
bad influence :
naomba unifundishe kuweka pesa utt mimi inanishinda
2026-10-17 18:59:32
0
To see more videos from user @mansamussaxivcom, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About