@islamicswahilinet: KISA CHA TAJIRI MWENYE MALORI 400 ASIYELALA VS MZEE WA KUKU JELO! Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 17:51:38 GMT
Music
Download
Comments
Mima-tz🌸 :
Alhamdulilaj for everthing 🙏🏿🙏🏿
2026-10-17 18:47:28
0
user3306792025914 :
Mashaa Allah
2026-10-17 18:46:15
0
Maranga dascri :
Allah akbar
2026-10-17 19:34:26
0
Zeitun Zeddy :
Alhamdulillah
2026-10-17 18:45:33
0
Hussein Mkindo :
mali ni mtihan
2026-10-17 19:29:24
0
Livis Masterd :
mashaallah
2026-10-17 18:43:21
0
official mau✍️✍️✍️ :
ALLAH NIJALIE NIWE KWENYE MAISH AYA AYA TO
2026-10-17 18:45:19
0
user846158156526 :
maashallah
2026-10-17 19:08:16
0
Äbdu Ibrahim :
[Like][Like][Like][Like][Like][Like][Like][Like][Like][Like][Like][Like]
2026-10-17 18:46:43
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.