@suleiman.magoa: Replying to @miss.zaina6 #tiktok #viral #trending #foryou #fyp

MAGOA TIBA ASILIA
MAGOA TIBA ASILIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 17:54:58 GMT
10635
523
54
11

Music

Download

Comments

mourinwanyaga
Qui..T :
mimi wananitupia kifo sasa my friend...
2026-10-18 15:21:08
1
yusuphtadei621
Yusuph Tadei :
ni kwer brooo tunayaona mtaani mwetu
2026-10-17 18:08:16
4
ahash380
ahash380 :
kweli kaka ya menikuta hayo kuitwa muchawi
2026-10-18 06:58:56
1
user3622715582386
Mama yao :
nakubaliana na wewe
2026-10-18 15:53:14
1
user37939981368392
mrs s :
yn mi ndo jina langu ilo
2026-10-18 06:17:48
2
aiemzenah1
Zeyne midollar💸💵 :
Ndio walivyo yan 😂😂😂
2026-10-17 20:01:33
2
salha.mwinyimvua
Salha Mwinyimvua :
kiukweli napitia changamoto naweza nikaota kitu kinatokea kweli mfano niliwahi siku niliyoota babu yangu anakufa na ni kweli siku niliyoota na alikufa kweli yan nina mambo mengi yamenikuta
2026-10-18 13:05:22
3
dazzlekaizer
Kaiza :
ni kweli kabisa kiongozi
2026-10-17 20:39:05
2
runna680tiktok.com
Boss Mama♥️ :
nlimshinda sai afukiza dawa za kunuka vibaya mpk.nakohoa na pressure haishuki 😥😥
2026-10-17 20:58:52
2
khalidahmed7626
Khalid Ahmed :
ni kweli kabisa Tena kwangu ni shekhe na imamu wa msikiti
2026-10-18 11:33:30
1
user3761332681410
user3761332681410 Ruhi :
nikweli..kabisa
2026-10-17 22:37:58
1
kwangu.mashamba
Kwangu Mashamba :
jiran yang mganga aliwatangazia mtaan mim mchaw daah
2026-10-18 06:47:56
1
karimah9265
karimah😀 :
mwenyezi mungu azidi kututeteya nakutuonekaniya
2026-10-17 21:36:55
1
lambada4207
Aim baby Mom omani🇧🇬 :
Uyo ndo mimi 😂
2026-10-18 03:13:41
1
tamikitwese
tamikitwese :
true
2026-10-17 18:02:14
0
user5576193791834
MPENDWA WA BWANA :
kabisaaaa
2026-10-18 09:19:02
1
user1603828451344
Monica :
amen
2026-10-18 07:43:20
1
matatamathias
Mathias bongegang :
Kweli kabisa
2026-10-18 07:34:17
1
miss.zaina6
miss zaina :
....Ni kweli washaniita sheitani
2026-10-17 19:40:05
1
zuu_kimdoly27
Zuu_kimdory 27👧👩‍🦰 :
Kabisa wala sio uwongo me kuna jirani yangu kanipa cheo cha uchawi hata kuruka sijawai kuruka 😂😂😂
2026-10-17 22:59:18
1
user715066125833
Zuhura Mrisho :
kweli kaka niliambiwa na rafiki yangu wa karibu mm mchawi
2026-10-17 20:56:06
1
p..0510
..#.. :
yaan upo sawa ila uzur wanamjua kabla sijamjua
2026-10-17 20:27:36
1
user4376251746794
Ahmed ally :
nikweli kaka😆😆
2026-10-17 19:07:12
2
snura_wa_tamla
snura wa Tamla :
kabisa
2026-10-18 17:15:44
1
kasimuhamisi536
key sam :
sawa
2026-10-17 19:22:45
1
To see more videos from user @suleiman.magoa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About