Kuna mzee analia hapo mwanzo, Hebu mwekee mkono kwanza ndio uendelee . Pole he has been in hell
2026-11-12 11:02:20
0
Men's kingdom :
katika hili umesema kweli
2026-11-12 10:57:59
0
Peter Daniel Joshuan :
😂😂Utalia Na Jina Lako La Apostle
2026-10-17 19:10:27
4
mtumishijohnson :
mimi mwenyewe nilipooa tu ndo mwisho wa ajira yangu kwenye kampuni 2016 ndani ya miezi mi3 tu nikapoteza kazi ameondoka kwangu 2021..
kila kitu kiko sawa...
2026-11-01 07:17:41
1
Jaji :
kweli kabisa mtumishi wa wengi wamekufa kabisa alafu chaajabu wanawake wenyewe hawafi
2026-11-02 10:36:27
0
why not :
ni kweli kbs kakaangu amepata depression mpk sasa hayuk sawa
2026-10-26 10:20:49
1
Emanuel jerad :
daa kupitia mk vituvyangu vyote vilipotea
2026-11-06 08:13:34
0
de boss :
Yaaaani kwakweli kinamama wanatuua mapema hata ambao hawaui ila wao ndio wanauawa psychological mdogomdogo
2026-10-19 04:32:15
1
Chriss Daniel :
True
2026-11-08 17:52:11
0
Mwita Marwa :
amen
2026-11-01 18:04:07
0
Katie Andrew :
how about women???
2026-11-11 11:43:33
0
New Edna Mwampamba :
Wanaume wengi ndio chanzo cha migogoro kwenye ndoa wanawake huwa wanamlizia tu alaf ndio wanaotupiwa lawama .
2026-11-12 06:45:58
0
valavala :
🥰🥰🥰
2026-10-17 19:17:32
1
To see more videos from user @peter.daniel.joshu, please go to the Tikwm
homepage.