@masakiyakivule: 👏🔥 HUDUMA NI UTAMBULISHO WA MUUNGANO PARK! 🔥👏 Tunawapongeza sana wahudumu wetu wa Swimming Pool & Bar kwa kazi nzuri, ukarimu, usafi na namna mnavyowahudumia wateja wetu kwa moyo. ❤️🙌 Kila tabasamu, kila huduma na kila jitihada yenu ndiyo inafanya mteja ajisikie AMERUDI NYUMBANI. 🫶 💪 Timu imara, huduma bora, mteja furaha! Hongereni sana Wahudumu wa Muungano Park & Swimming Pool. 👏🔥 📍 Kivule Shule, Ilala DSM #fyp #trendingreels #trending #viral #trendingnow