@surveyor_mligo_simon: Part 1. Gharama za Upimaji wa kawaida yaani Mtu Binafsi na Mpima Ardhi Binafsi huwa zinategemea baadhi ya mambo kadhaa, ukiacha sehemu ambayo eneo hilo linapatikana, basi moja ya sababu za bei hizi kutofautiana ni Umbali wa alama za msingi za upimaji (Control Point) , kwa mujibu wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1999 toleo la 2023, alama hizi za msingi zipo kama 1,000 nchi zima ambapo kwa ukubwa wa nchi yetu bado hazitoshi kurahisisha zoezi la upangaji na upimaji, kwaio hii ni moja ya sababu inayofanya gharama za upimaji kutofautiana baina ya mtu mmoja na mwingine. Ungana na mimi tuone namna ambayo umbali huu unaathiri shughuli ya upimaji. This is SMS. Unataka Kupima Kiwanja chako? Karibu SMS 0753846754 #mtaalamuwaardhi #elimuyaardhi #upimajiwaardhi #gharamazaupimajiardhi #mpimaardhi