mm sheikh naweza kusimama naweza kurukuu naweza kusujudu ila kuamka kutoka chini kuinuka siwezi nafanyaje
je rakaa ya kwanza nitimize zilizobaki zote niendelee kukaa uli nipate kusujudu au nisimame na kurukuu halafu badala ya kusujudu chini nikae kwenye kiti? hapo nakosa kusujudu chini kuweka paji la uso chini
2026-10-18 07:54:51
2
Abdul Mohamed :
je wale wasio weza kusimama kabisa
2026-10-18 03:52:15
1
Shamsudeen̈ ✨️ :
Jazakallahu khyran... naomba kufaham hapa sheikh alikuwa anakuhutubu??
2026-10-18 12:27:47
1
Emmah :
Shukran jazzak Allah kher
2026-10-18 14:27:05
1
Yeyu :
Mashaa ALLAH shukran ALLAHUBARIK Inshaa ALLAH
2026-10-18 11:02:32
1
maira :
allha atusamhe yrb
2026-10-18 05:31:02
1
Zahra Bafan :
Aa na VP rakaa ya pili. unaweza kuendeleaya na kukaa
2026-10-18 05:30:53
0
chabaa :
Mashallah shikran hafidha Allahdr islam mohd
2026-10-17 23:58:11
1
rahiyan :
subuhnaAllah......... mashaallah... alhamdulillah
2026-10-18 06:25:57
1
12 :
mm siwezi kusimama na sali kukachini.lkn nasujudu jee inafaa
2026-10-18 20:08:20
0
Lady Zuh :
Shukra
2026-10-18 13:42:25
0
user5570044092395 ahmad :
mimi sheh nimepata strouk je siwezi kusimama kabisa hata sekunde
2026-10-18 16:50:31
0
nassraa1 :
tatizo kukkunja Miguel inakuaje
2026-10-18 08:30:20
0
mrs habbty 🥰🥰 :
je mtu aweza kuswali aki piga magoti
2026-10-18 05:40:05
0
Uswahili.kupendeza.pishi Pambe :
Subhanallah,Shukran san Allah akulipe kila la khry
2026-10-18 15:34:49
0
Roshan :
Shukran Jazzila.
2026-10-18 09:03:20
0
Suhaila Juma :
na kama mtu alikua hajui akaswali Bila kupiga takbiratul ihram kwa kusimama,alikaaa na baada ya kutoa salamu akaambiwa je anafaa aregelee ama aanzie swala nyengine ifuatayo?
2026-10-18 14:53:34
0
Aisha :
2026-10-18 04:21:47
0
Ramla Haji :
@[Pray] [Pray]
2026-10-19 04:58:13
0
Ramla Haji :
shkrn shukrn jazaka lahkher
2026-10-19 04:57:59
0
hashhawabashha :
Haya mafunzo utaysoata tu kwa miskiti ya sunni
2026-10-18 20:24:36
0
user4613768005662 :
🥰🥰🥰
2026-10-17 20:10:09
0
Dalali Muaminifu :
👏👏👏
2026-10-18 05:56:56
0
To see more videos from user @fawaed.dr.islam.salim, please go to the Tikwm
homepage.