@rafiki.uzazi.combo: Replying to @Sazlinah Actress #fypシ゚viral #fyp #fyppppppppppppppppppppppp

COMBO RAFIKI WA KILA MWANAMKE
COMBO RAFIKI WA KILA MWANAMKE
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 19:25:11 GMT
22148
1212
111
12

Music

Download

Comments

reginabeatus929
Ginna :
Ee Mungu hata mmoja tu nitashukuru😭
2026-10-18 12:47:55
21
ammygirly
❣️✨AmmyVogue🌸💦 :
Eeh mungu wabariki wanawake wote wenye uhitaji wa watoto wapate watoto,, nna dada yangu kaolewa ni mwaka wa nne sasa jaman inaumiza sana akienda hospital anaambiwa hana tatizo daaah🥺🥺🥺
2026-10-19 04:08:13
19
miriebeautystore
miriestore🍎 :
kila mwanamke aliyezaliwa na mwanamke ataingia leba🙏🙏ni swala la muda tu uckate tamaa wala usichoke kuomba Mungu❤️❤️❤️
2026-10-19 06:29:41
16
mrshamisbns
Sumayah❤️🤎 :
Mimi nitazaa tena watoto weng sana simpi MUNGU wangu mipaka ever
2026-10-18 20:03:56
4
zamda660
Zamdaza@za :
dada mirija yangu imeziba yote miwili ina maji naweza kupata dawa?
2026-10-20 03:52:44
0
cristina.og7
Cristina Og :
dada habari Yako hii dawa hata unauvimbe inatibu mm niripima nikaambiwa ninauvimbe kwenye mayai upande mmoja,nakuomba dada unijibu nipate àmani ya moyo ninamaumivu sana kutopata mimba jamani
2026-10-18 05:04:39
0
lily.emanuel4
Lily Emanuel :
jaman kama mm nahis ni wa kimataifa yaan daaah 😭😭😭
2026-10-18 06:50:51
0
eneaenocki
eneaenock :
naomba nam dawa nitumie labda mungu atatenda kupitia wew
2026-10-19 12:54:40
0
analize289
Analize ♎🌹 :
Naomba kuuliza
2026-10-18 07:33:27
0
user6398309298075
user6398309298075 :
mimi ni mtu mzima 44 sina mtoto hosipital sina tatizo
2026-10-18 13:21:51
0
user7373027616659
frolah emmanuel 💯🤎💜🩷 :
amina napokea
2026-10-27 20:11:03
1
user760282633209
ma dadto :
Nyie Mungu anafanya kupitia Da Emy Wa Simiyu nyie hamuogopii🥰🥰🥰
2026-10-17 20:01:19
0
huruma_01
huruma_01 :
amen amen
2026-10-18 08:16:56
1
maryampatrick713
Maryam Patrick :
Mungu akumbuke matumbo yetu
2026-10-19 12:02:59
1
mwanaid.miraj362
mwanaid miraj :
amina[Pray][Pray]
2026-10-27 17:25:46
0
revocatusfrances1
rafa :
hapan usiseme mgumba wa dunia mungu atakupa mda ukifika 🙏🙏
2026-10-26 10:02:55
1
user80332082998803
user80332082998803 :
amina😭😭😭😭
2026-10-18 07:25:57
0
jamillaburhan
✨️JAMILLAH✨️ :
mungu anione
2026-10-17 20:36:36
2
sazliinahactress
Sazlinah Actress :
Asante Dada
2026-10-18 13:20:49
1
getrudaadolfu8
getruda adolfu :
nina uvimbe kwenye kizaz fibroids dawa dada nimepewa dawa uvimbe zimekuwa nyingi nakuongezeka
2026-10-18 11:49:59
1
ndosi090
hildegardamrosso :
Ameeen
2026-10-28 18:15:48
0
user2981074398175
zainabu :
Amina
2026-10-27 09:42:29
0
user902619068286
Babygirl❤️ :
amen napokea
2026-10-27 06:10:26
0
being_mother1
Being_mother :
Amina
2026-10-26 14:24:16
0
mrskephans
Dada mkubwa ♥️💕 :
Mimi nimekata tamaa
2026-10-27 21:18:17
0
To see more videos from user @rafiki.uzazi.combo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About