@selphix_media1: Jijini Dodoma kumetokea tukio la kusikitisha ambapo kijana anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 22 Afariki Dunia kwa kujinyonga na Mkanda wa Begi ambapo chanzo cha kujinyonga kwake. Tukio hilo limeyokea leo Tarehe 17 Oktoba 2026 maeneo ya Toronto, Ilazo jijini Dodoma. Amejitokeza jirani wa eneo hilo ambaye amefunguka kwa kutoa taarifa anazozifahamu tangu tukio hilo lilipo tokea ikiwa ni pamoja na kiongozi Mwakilishi wa eneo hilo amefunguka ukweli kuhusu kupokea taarifa hiyo na kumalizia na ushauri. @selphix_media itakuja kutoa ufafanuzi wa kina kw a kile kitakachoendelea. Selphix Media Powered by: @sephil_sapphire_pride_castle @come_and_savegiftshop @comeandsave_decorationcenter #fyp #missgrandinternational #dodoma #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokviral

selphix_media
selphix_media
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 20:19:42 GMT
31982
788
14
14

Music

Download

Comments

mamashamy7
Zulfa Abdallah :
Mwenyezi Mungu atusaidie jamani dodoma yetu
2026-10-18 04:32:25
2
hopepeter77
@_hope😍 :
ndo mjue si arusha tu ni kila kona
2026-10-18 08:11:11
2
wittyamosi
wittyamosi :
jamani Matukio ya arusha yamehamia Dodoma Mungu atu nusuru
2026-10-18 07:50:53
1
momyjr8
momy Jr :
m.mungu atunusuru jamani
2026-10-18 04:07:15
1
rachey1234
Rachel💗💗 :
Eeeee mwenyez mungu ibarki Dodoma yetu tunusuru mwenyez mungu😭😭😭😭🙏🙏🙏
2026-10-18 10:28:04
0
user6836008805739
Issa Omary :
mhhh
2026-10-18 07:34:38
0
mrstakeoff1
Mrs take off 🥰💍 :
dodoma sasaiv matukio meng jmn ee mwenyezi mung atunusuru jmn
2026-10-18 07:58:57
0
silly05ayo
Hassan07 :
mnataman kupata taarifa za kina hizo taarifa za kina utazipata baadae ya upelelez na uchunguz wa polisi
2026-10-18 03:32:04
0
tatu.hamza1
Tatu Hamza :
duu imekuwa zamu ya dodoma
2026-10-17 22:35:59
0
naifni
user32766630925940 :
muh mtihani mzito
2026-10-18 04:13:34
1
simba.mbaya
Simba Mbaya :
🥰😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-17 23:17:02
0
suriya60006
Suriya :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-18 08:32:05
0
To see more videos from user @selphix_media1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About