@de_jobs: Akikisha CV yako ni nzuri #tiktoklive #livehighlights #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

de_jobs
de_jobs
Open In TikTok:
Region: TR
Saturday 17 October 2026 20:47:13 GMT
6624
427
32
65

Music

Download

Comments

otienophilo
OtiPhilip :
Kazi za Warehouse niziappply wapi zenye visa sponsorship [Pray]
2026-10-19 14:21:24
0
kweji38
kweji :
kwamfano kazi zakulisha kuku dada zinapatikana kiufupi kazi zaaina hiyo zakawaida tu lakini english sijui
2026-10-17 22:09:03
2
user58673214811684
lissamario💙 :
mfano mm nataka caregiver lkn sijasomea nina form 4 nifanyeje
2026-10-18 03:01:08
1
user4414259348223
user4414259348223 :
Allow tusave video dada.
2026-10-18 05:32:18
0
mikekiss111
Mike kisanga :
devota naomba nijue mfano wa cv za kuombea kazi huko European
2026-10-18 13:25:02
1
benabutterfly0
Benadetha :
Dada Devota ile kampuni ya Swahili pay ni ya utapeli tumelia lakini hakuna kitu ni matapeli
2026-10-17 22:58:18
1
kelvinadilike
Kevoo_clo👡👚👗👞👖👔🩳 :
nafanya hivyo unavyo.sema
2026-10-18 07:43:25
0
ibrahimhamady656
Ibrahimahmady🇺🇲🇺🇲🇹🇿🇹🇿 :
dada mimi nimejaribu kuomba sana lakini nakosa help me out
2026-10-17 20:50:26
0
ckm840
ckm :
asante kwa taarifa nzur
2026-10-18 13:30:36
1
kelvinadilike
Kevoo_clo👡👚👗👞👖👔🩳 :
mimi najaza sana lakini majibu sirudishiwi hata kwa bahati mbaya 🤣🤣
2026-10-18 06:22:17
0
kelvinadilike
Kevoo_clo👡👚👗👞👖👔🩳 :
kama kuchati na wazungu na ulipwa ni kweli sis
2026-10-18 06:23:11
0
kelvinadilike
Kevoo_clo👡👚👗👞👖👔🩳 :
kimfano hapo.kwenye farm.mimi ni operator wa mashine naweza nikapata nikiapply
2026-10-18 06:24:36
0
kelvinadilike
Kevoo_clo👡👚👗👞👖👔🩳 :
nitakucheki dn dada yangu
2026-10-18 07:45:36
0
kelvinadilike
Kevoo_clo👡👚👗👞👖👔🩳 :
nipe hizo site
2026-10-18 11:03:49
0
kelvinadilike
Kevoo_clo👡👚👗👞👖👔🩳 :
sawa
2026-10-18 08:22:10
0
To see more videos from user @de_jobs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About