@live.media.habari: LIVE MEDIA NDEJEMBI: SAMIA AHAKIKISHA WAKULIMA WADOGO WANUFAIKA NA SHAMBA LA MBARALI Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Deogratius Ndejembi, ametoa maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha wakulima wadogo wananufaika na shamba la Serikali lenye ukubwa wa ekari 6,000 lililokuwa likimilikiwa na Highland Estate, Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya. Dkt. Ndejembi ametoa maelekezo hayo wakati wa ziara yake eneo la Rujewa, Wilaya ya Mbarali, akisisitiza umuhimu wa shamba hilo kuwanufaisha wakulima wadogo na kuchochea maendeleo ya sekta ya kilimo. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha rasilimali za Serikali zinawanufaisha wananchi na kutoa fursa zaidi kwa wakulima wadogo katika shughuli za uzalishaji. LIVE MEDIA — Habari za Uhakika #RaisSamia #DeogratiusNdejembi #Mbarali #Kilimo #KaziNaUtuTunasongaMbele

LIVE MEDIA HABARI ZA UHAKIKA
LIVE MEDIA HABARI ZA UHAKIKA
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 21:16:16 GMT
15841
503
20
52

Music

Download

Comments

pablo.zungu
Pablo zungu :
tunasevu hii video
2026-10-18 09:37:22
0
stationerytukuyu1
vero Stationery Tukuyu :
ni Shamba gani linalozungumziwa
2026-10-18 08:30:52
0
shimano_aziz
shimano_aziz :
Shamba linaenda kufa kabisa 😂
2026-10-18 14:42:11
0
charsebarazani
Charse Barazani :
vipi kuhusu mnazi,makondeko ect amabako wanatakiwa kuhama imekaaje? mbn hujasema
2026-10-18 14:48:37
0
user410916952
naaa💝💝best :
Bei hamjuzungumzia tunaumia wakulima
2026-10-18 10:49:13
0
elizahmhepela
Elizah Mhepela :
apo sawa
2026-10-18 06:05:55
0
givenilomo
#sosoli jr :
kwan nan mkubwa Tena mbn km wanaogopa
2026-10-18 06:42:44
0
petro.julius
Petro Julius :
huyo jamaaa huwa anaongea akiludi hua hana mchezo
2026-10-18 06:28:56
0
hillarymmari7
hillary mmari :
hamna kitu kamahicho nimekua hapa nimesoma hapo shamba hili ni upigaji tu
2026-10-18 08:13:19
0
theonehimself_1
the one himself 🥀🕊️ :
kama kwel serekal ina nia ya kuokoa wakulima wadogo turudishien mashamba yetu ya mnazi
2026-10-18 09:58:31
1
yusuphmasterjunior
Yuzzo Kubota Agrimachinery :
mkisha pata mashamba basi karibuni YUZZO KUBOTA Agri machinery mjipatie spare parts original kabisa za kubota combine harvester na power tiller... kwa bei nzuri kabisaa
2026-10-18 11:23:06
0
user410916952
naaa💝💝best :
Umeongea baba[Big LOL]
2026-10-18 10:50:13
0
user50287228150267
abobakari g15 :
na hii hifadhi ya ruha nayo kero imetanuliwa sanaa
2026-10-18 10:40:12
0
fadhil..r..mhongol
Ayatollah mhongole Khamenei :
huwa mnaongea mkisha fika daah kimya
2026-10-18 07:02:52
0
petro.julius
Petro Julius :
hamna kitwo hapo
2026-10-18 06:27:12
0
user4798247942708
user4798247942708 :
waludixhe na mm niludi kulima jamani heka moja kukodi nyeregete tu kutoka laki 150 hadi laki 4 hadi 6
2026-10-18 12:52:07
0
mjuni03
mjuni03 :
🙂‍↕️🙂‍↕️🙂‍↕️🙂‍↕️🙂‍↕️
2026-10-18 05:10:44
0
To see more videos from user @live.media.habari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About