Hata mutengeneze song siwezi rudia mtu nliacha kenya😂😂
2026-10-18 05:13:39
19
Vicqtah Moremanyieh🇰🇪🇦🇪 :
title ya hii ngoma please 🙏
2026-10-18 12:48:03
1
Brian matara477 :
wanakuanga hivo mh nae dem akiniambia anaenda gulf n hivo tumeachana
2026-10-18 07:44:17
2
Viih ♍️ ❤️ :
mimi naye alikua na,mimi time nilikua na shida
but surely unaeza kaa na mtu akona matusi na madharau hadi kunitusia wazazi😏
Yaya pi
mungu tu amlipe but mimi huko sirudi 😂😂