@the.dream.translator031:

Dream Decoders[Interpretation]
Dream Decoders[Interpretation]
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 18 October 2026 01:07:55 GMT
286724
5399
219
300

Music

Download

Comments

lvy.stephanie
Lvy Stephanie :
[Heartwarming]l receive the blessings
2026-10-27 22:35:33
1
laree811
Lareè :
fake interpretations❌️
2026-10-18 19:15:47
3
user8633888757222
LOVER ONE :
juz tu niliota Marehemu nyanyang amekuj akanikumbatia akiuliz kwan shida iko wap mbon napata shida ivi nalia kila siku bas nyanyang alilia akanikumbatia akiuliz kwan nini cheny huw chanitesa na kuniliza kisha akanipeleka mahal sikupaelew kamwe ila mahal palikuw na mto kisha tukavuka sote baadae tukatokezea mahal kun waarabu wanauza ma abaya na nguo za kiume n mishipi mingi kisha akanipetea apo dukani 😥😥😥iyo siku kuamka sikuw na Amani kwel
2026-10-27 21:36:47
1
malilo414
malilo :
nice
2026-10-25 12:42:27
1
mariamjohn67
Mamuyu :
ee mung niepushe Mimi naota ata kwa mwezi mala Tano nan'goka meno Hadi Leo nimeota
2026-10-27 19:30:34
0
salmamgowa112
Salmamgowa🤗 :
uwa naota nanyonyesha na umesema maana yake ni kupata Mtoto lakini itakuchosha kivipi itachosha
2026-10-27 21:44:17
0
user7747mercy
Lynn Mercy💋 :
hii nammbari kumi
2026-10-26 11:04:49
0
user7176717446603
Hikra de cute :
niliota m2 wang wa karbu kafarki je inamaana gan hyo
2026-10-22 11:16:15
1
user8662631921010
my clement :
no10 na4 na 1
2026-10-22 11:09:56
1
magrepina
magrepina 💝 :
naota baba yangu amekufa alaf wat awajui Kama yeye kafa na yeye alkufa 2018 lakn naota asaiv . Na ndot nyengine nimeota nampeleka mama mjamzit ambay simfahamu kujifungua tumetembea adi barabaran tuchumkuw Bajaj , tukakosa ikaja pikpik akapand yeye mim nikabaki nikasema ngoj nitembee adi apo mbele lamd nitapa usafir et nimepotea napoenda
2026-10-27 15:43:54
0
mshua777
亗MSHUA࿐ :
hi ndoto namba 2 inaniliza man cjui nan ataondok🥺
2026-10-18 22:02:04
1
aishashaha0
AISHA SHAHA :
heee hii ya 2 nmeota juzi na wiki 1 nyuma🥹🥹🥹mungu ilinde my fam🥰
2026-10-19 09:59:42
1
user920316900729
m͜͡a͜͡ma moha :
je kuota na wanajeshi
2026-10-19 18:46:50
0
shemmytz
ITS MIRAH🦋 :
niliota napigana na mtu ninae mjuqa
2026-10-21 14:34:16
0
user269942846708
sammy :
vp kuhusu kuota unaibiwa vitu nyumbn kwako ucku?
2026-10-18 19:29:50
0
user90191819
♥️❤️‍🔥 Patrick Nzivo. ❤️‍🔥♥️ :
amen
2026-10-18 19:05:35
0
halimaamily258
Halima Amily :
mm nmeota nashirk tendo na mwananke mwenzang alaf akanipa hela
2026-10-19 09:49:51
0
happinesssaidi8
its@happie :
amen
2026-10-18 15:28:08
1
johnnkomo22
Joh Nkox :
Jana Mie nimeota baba amekufa tupo msibani lakini baba yangu alikufa tokea 2010 hii ikoje?
2026-10-27 11:42:17
0
sandra447881
nyar onagi onagi :
hiyo No 1 na No 10
2026-10-18 10:22:03
3
margaretmasila940
Maggy Skyler 🥰 :
na kuota ukiwa shule na marifiki zako juu mmi huota karibu daily
2026-10-18 14:01:39
4
user90455524667020
Doricas :
merci beaucoup
2026-10-23 10:32:20
1
mwajuma.mohamedi65
Mwajuma Mohamedi :
Jaman no 6 kuota gari inakimbia sana nipk humo ndani ya hilo gari
2026-10-27 10:48:11
0
natalia.milanzi
Naah🥰🦋 :
Nanyonyesh mtoto na sin mtot
2026-10-27 10:18:46
0
zainabumwangu
Bossbeib1 :
Me huwaga naota nipo shule ya sekondar na nilishamaliza tangu 2023
2026-10-26 09:44:11
0
To see more videos from user @the.dream.translator031, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About