@mtoto_wa_maria: Mara nyingi tunashindwa kupokea baraka maishani mwetu, kwa sababu ya kutomrudishia Mungu shukrani kwa yote anayotujalia, kama vile tulivyokuwa na juhudi katika kumuomba. Kwani mtu anayesema asante, ndiye anayepewa zaidi. #furahatemba #thanksgodforeverything #gratefulheart #eastafrica #viraltrending