kuna watu wameokoka kupitia huu ushuhuda Mungu awabariki na imani zenu ziwe juu na ya viwango
2026-10-18 03:10:45
50
Neymishy1 :
Yesu ndiye njia kwel na uzima
2026-10-18 06:22:27
21
Nicolas 🚫 :
Kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kristo yesu ni Bwana 🙏
2026-10-18 16:01:40
16
Mwami@Cheikbar :
Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe
2026-10-18 04:42:01
7
Feli :
Glory be to Mungu uongea
2026-10-22 12:39:45
4
Hellen Fliakos :
Dada wewe kabisa nilimwona Yesu peke yangu miaka 38 ilipita nikatengwa na wazazi na ndugu Yesu alisema hutanyamaxa kimyq utawambia wqtu yote niliyokutendea : mpaka saxa namhubiri Yesu ;nakupenda sana dada endelea mbele na Yesu : naomba tujuane zaidi
2026-10-18 09:10:51
10
user9287237446208 :
yesu ndiye njia ya kweli na uzima
2026-10-18 06:48:11
9
Amore Didah :
haya next
2026-10-24 06:13:19
1
Jakaya Yusuf :
next
2026-10-24 12:26:38
1
user7618916611075 :
Asante bwana Yesu
2026-10-23 15:56:25
1
EZRA GISA :
Mimi nimkristo yangu ujana wangu Jesus Christ is reall
2026-10-18 05:28:25
5
wahid123 :
hakuna kitu km hicho mm nimekaa mogadishu miaka yote nipo huko
2026-10-18 06:48:52
1
John kashiwa :
hongela kwa kushinda vt
2026-10-18 04:45:49
2
pilly :
amina
2026-10-26 15:12:46
1
therealWoman@ :
no 4
2026-10-18 05:30:07
2
Robert Swahili :
amina sana Mungu ni mwema
2026-10-18 04:43:58
4
Hafidh Abdulmalik :
wacha kutunga story
2026-10-22 17:25:11
1
𝕄𝕐 𝔻ℝ𝔼𝔸𝕄 :
ameen
2026-10-18 04:35:03
2
feisaloo :
ata mimi niliona yesu akaniambia yeye sio mwana wa mungu wala mungu ila yeye ni mtume tu kama mitume wengine