@chris_daktari.kid: DALILI ZA MOYO KEFELI 🫀Kupumua kwa shida — hasa wakati wa kutembea, kufanya kazi au kulala chali. 🫀Miguu kuvimba — hasa kwenye vifundo vya miguu na nyayo. 🫀Miguu kubonyea na kubaki na shimo unapobonyeza sehemu iliyovimba. 🫀Kuchoka haraka hata kwa kazi ndogo. 🫀Kukohoa mara kwa mara au kupumua kwa mlio, hasa usiku. 🫀Kuamka usiku ukihangaika kupata hewa na kulazimika kukaa ili upumue vizuri. 🫀Mapigo ya moyo kwenda kasi au kutokuwa na mpangilio wa kawaida. 🫀Kuongezeka uzito ghafla kutokana na maji kujikusanya mwilini. 🫀Tumbo kuvimba au kuhisi kushiba haraka. 🫀Kukosa hamu ya kula au kupata kichefuchefu.
Dr Chris +255743889821
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 03:20:27 GMT
Music
Download
Comments
Zuwjat :
Jamani mie hapa kati kagi ya maziwa pana dunda kwa kasi kila baada ya kakika kazaa shida nini au presha😞
2026-10-18 06:18:47
1
mina kiwanga :
nikweli kabisa na dada yangu alikua hivyo mpk akafariki
2026-10-19 03:30:13
5
Neema💞✨💥 :
ya Rabby tuwepushe na Maradhi Makubwa 🤲
2026-10-19 10:34:05
5
shakila :
mim nasumbuliwa na presha inapanda hadi 200 jumatatu wiki hii nikaenda hospitali nikapimwa moyo nikambia moyo wangu umetanuka
2026-11-11 22:34:30
0
fau africa2🖤🇿🇲🇹🇿🌹 :
na maumivu ya shingo je ni dalili
2026-10-18 03:26:24
1
irenekolambo :
miguu kuwa na ganzi sana
2026-11-24 21:54:08
0
UMMU SAAD :
Mimi kifuani upande wa kushoto Pana maumivu ambayo nashindwa kuyaelezea
2026-10-18 07:22:38
0
John wanjiku John wanjiku :
hakuna jambo ngumu kwa Mungu
2026-11-20 11:00:35
0
Nyota wakirangi WCB :
polee sanaa
2026-11-13 20:47:59
0
user5615297556732 :
pore
2026-11-17 18:13:40
0
Sara Daudy :
ehee ,mungu sisi wake tuxaidie
2026-10-18 19:57:58
1
Eric Ingleas :
Mhhhhh
2026-10-18 07:35:29
1
Betty Chapa :
Mungu anaweza badil historia na Atapona vzr tu
2026-10-25 19:02:01
0
Jumaa kazungu :
jamen
2026-11-19 07:19:57
0
Zulfa Fadhili :
mimi nashida kunakipindi maskio naskia miungulumo sana alafu na kizunguzungu
2026-11-07 12:14:06
0
Sofia Silivesta :
miguuu yangu inauma napia inawaka kama moto je litakua tatizo Gai litakua
2026-10-25 16:03:45
0
Ruu 🥰😍 :
dàaaah allaah kareem
2026-11-09 03:55:22
0
Dahuaaa1234 :
mmmh
2026-11-01 11:16:45
0
selestin :
siuniambie dawa
2026-10-19 16:32:17
0
husnanyundo839 :
mm natumiya dawa za pressure Allah aniepushie mana nikikosa dawa roho hupuma sivyo lla tuzidi kumuomba Allah yy ndo muweza
2026-10-19 21:08:08
0
farhamuhammed321 :
Dr nasumbuliwa sna na shingo mda mwingin nahis nisindan ya ope ila mtto mkubwa tatiz nn
2026-10-20 07:14:27
0
Matridah :
pol san jmn
2026-10-19 18:38:21
0
Alice Nekesa :
Mungu tuepushe
2026-10-28 14:08:49
0
Sofia Silivesta :
Mungu tusaidie tuepushe namalazi 🙏🙏
2026-10-25 16:01:13
0
wemamiracle :
Kuna wakati nilisikia hivi sahii sisikizi tena
2026-10-18 16:20:37
0
To see more videos from user @chris_daktari.kid, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.