Amen na mwombea dua 🤲🏾 mwanangu na watoto wa wengine wote mungu asikie dua yangu kWa watoto wangu
2026-10-18 06:52:10
74
faraja...... :
hii post imenifanya nijiskie huzuni sana maana mtoto alie fungua tumbo langu kwa mara ya kwanza aliniacha siku ya pili tu baada nilipo mzaa 😭😭 pumnzika kwa amani baba yangu
2026-10-18 08:39:39
22
maryam8 :
Mungu amlaze pema peponi mwanangu ameenda akiwa na miaka 3 had sasahiv angekuwa na miaka 17 😭😭
2026-10-18 16:38:15
10
happy Ernest :
amen napokea baraka hizi kwa ajili ya mwanangu
2026-10-21 16:52:41
7
heriecute :
ninapokea kwa JINA LA YESU AMINA🙏
2026-10-19 16:26:59
3
Fina mkweli🙎♀️❤️ :
Ameen ndio mungu mponye nimepoteza tumain kabisa kwa uzao wangu wa kwaza mungu fanya kitu kwa uzao wangu wa kwaza😭🙏🙏
2026-10-19 15:10:03
3
Marryanna :
Amin ikawe kheri kwake
2026-10-18 13:06:56
1
Paula Erasto :
namuombea sana hasa wakati huu yupo kwenye chumba cha mtihani wa kidato cha 4 eee mungu mbariki mwanangu akawe kichwa na sio mkia amina 🙏
2026-10-19 07:44:15
4
Madame Rita🧚💝☑️ :
Ameen napokea kwa JINA KUU LA YESU CHRISTO 🙌🙌🙏
2026-10-19 08:09:24
5
Ney George :
Amina napokea🙏🙏
2026-10-22 17:19:22
1
Duble A😎😎😎 :
AAAAAAMINA MUNGU MKUBWA.
2026-10-20 18:15:06
1
kyusa :
amina nitakuwa wa baraka sana
2026-10-18 11:40:29
1
Zai Cute :
ameni[Pray][Pray][Pray]
2026-10-19 10:59:57
1
Mama Boys 2016 :
Amina
2026-10-18 15:12:24
1
martha :
Amen baraka ziwe juu yakee
2026-10-18 06:59:27
1
larah cute :
Ameen
2026-10-18 11:30:46
1
Miss 🔥💯 :
ameen mungu naomb nilindie uzao wangu wa kwanza amen amen
2026-10-19 17:38:05
1
💝Etty😘🥰💋❣️. :
amina🥹
2026-10-19 06:36:34
1
Adalia omary :
Amina na iwe ivy napokea kwa jina la yesu
2026-10-19 17:16:35
1
Angela💕 :
Amina binti yangu 🙏🏽
2026-10-22 19:11:02
1
user450791336148 :
amina na iwe hivyo kwa jina la yesu
2026-11-23 16:44:48
1
ms abe :
Amen Naomba bariki uzao wangu Mungu wangu🙏
2026-10-21 17:59:01
1
Mom Brielle❤️🫂💍🔐 :
Ameen namuombea dua mwanangu na ikawe hvyooo inshallah
2026-10-19 15:38:08
1
dijah36 :
Naumia sana wakwangu aliniacha akiwa na mwaka mmoja pumzika kwa amani kipenz changu bint angu😭😭😭