@swaimaskitchen: Replying to @fatmakhelef3 Recipe ni nyingi nitawaletea na nyenginezo.kama una swali uliza nitajibu #chapati #trending #viralvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #fypシ゚viral

Swaima
Swaima
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 06:22:40 GMT
97089
2500
92
537

Music

Download

Comments

julia.mukabana
nash :
siagi ni nini
2026-10-18 17:15:43
1
allyan_alyahn
Allyahn€Aliyah :
NIKIKUWA NAPIKA CHAPAT NA MAJI YA BARIDI DADA ACHA 😅INAKUWA NGUMU MKATEWA YESU ULE UNASUBIRI
2026-10-18 12:22:44
6
lovjawwad
beutycom :
mi hy rangi tu🥰 hata zikiwa ngumu sijali😂
2026-10-18 12:10:21
7
lvenaa.gg
naaLove :
Umetumia unga gani dear?
2026-10-25 21:28:53
1
farzanaabb
Farzana Bhaloo :
Mashallah, I have been waiting for this recipe. Thank you so much
2026-10-18 16:36:48
1
zainabumatundaidris
zainabumatundaidris :
Asante kwa kusema sukari sio lazima manake mie sukari kwa chapati nataapika sana[Pray]
2026-10-18 15:45:55
3
kaila.zahra7
Kaila Zahra :
maji ya vugu vugu hii ya fridge naskia leo
2026-10-25 14:39:48
2
dadawabwanaharusicakes
Mamuro's cake& bites :
mim nakanda vzr ila kweny kuchoma zinakuwa na gamba humu kama ukoko w ugal😳 sjui Nafel wap
2026-10-18 13:41:46
4
cakes_for_celebration1
cakes_for_celebration1 :
shukran kwa recipe, siagi naweza kutumia prestige?
2026-10-24 14:43:24
1
deeaccessories3
deeaccessories3 :
Jaman mnatuchanganya Mara maji ya vuguvugu Mara ya baridi
2026-10-21 16:26:00
2
nunuu.43
Nunuu43 :
Hio samli na mafuta umetia kiasi gni drlng
2026-10-18 22:18:08
1
foodvibes.tz
foodvibes.tz :
Mimi chapati jamani kila njia ninayojaribu bado hazitoki laini sijui shida ni nini 😭🙌maji baridi au vuguvugu nimejaribu lakin wapi🥹
2026-10-22 04:39:49
1
shadee.khamis
shadee khamis :
Huo unga ni kiasi gani
2026-10-18 14:31:37
1
mukangwijeamina52
hajat shop :
unaweza kutiya maziwa
2026-10-19 16:18:37
2
safeenah53
safeenah53 :
Nxt part
2026-10-18 12:19:23
1
fatmakhelef3
fatmakhelef3 :
finally alhamdulillah
2026-10-18 17:26:05
1
shitalwatts
shitalwatts :
asante kwa mapishi ntasubiri next video yako💕🙏
2026-10-22 07:06:56
1
osamira16
Unique :
Umewekw nini nw nn Kwan
2026-10-19 01:02:11
1
jaulianadarabumbura
Rehema Mbaraka :
Asante kwa kuniongezea ujuzi[Heartwarming]
2026-10-18 09:25:04
1
ummusalama57
Salama Juma :
Shukran Habibty
2026-10-18 09:03:30
2
hassek678
Hassek67 :
Chapati zinanenepesha na kusababisha kisukari [Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-19 07:25:42
1
shumzleon
👑Mendoza 255🇹🇿💕 :
mimi kwa kusukuma sijajua kubalance coz side ingine inakua nono nyingine nyembamba nikijua apo tu baaas
2026-10-19 05:46:05
1
fatihakiobia
fatiha Kiobia :
unga una uchafu jamani sijaelewa uchafu gani...sasa si utupwe...uchafu huwezi kula...nashindwa kuelewa
2026-10-19 08:05:54
2
mamyabdull
mamyabdull :
Swaima ww ukae na mama angu kwakupika chapati nzuri Maa sha Aallah! Tabarakallah!🥰🥰🥰😁
2026-10-18 14:55:00
1
officialmwana14
official-mwana🧕🕋❤️🫀 :
mashallah
2026-10-19 15:22:28
1
To see more videos from user @swaimaskitchen, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About