đđđIla vijana hatuna hisia kwakweli allah tusamehe
2026-10-18 09:33:02
21
jabili chchubwa :
apawapi
2026-10-18 14:40:33
0
BDK SPARE PARTS LTD :
mwizi wa mwaka wa mbele đđđđđ
2026-10-18 09:29:50
14
Rey joe :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] hee ila watu wanaiba had jeneza aaah nachoka mie
2026-10-18 08:32:39
1
diahđĨ° :
Mtumeeee
2026-10-19 09:33:15
1
ACHA IBAKI HISTORY â¤ī¸âđŠšđ :
innallilah wainna illah rajiun sasa km yupo hapo mtaan je akifa ataperekwa n jeneza gani
2026-10-18 08:49:52
12
Mr Professional Curl :
Sasa mpka mtu anaingia msikitini, anabeba jeneza inamaana hakuna ulinzi? ninavyojua Mimi lazma Kuna watu wanalala misikitini alafu hili jeneza mpka mtu anatokanalo nje anazulula nalo mtaani mpka linafika kwa mnunua machumađ¤
2026-10-18 08:59:27
16
hilmy :
watu washadata
2026-10-18 08:45:27
5
Zabibu Mauba :
Watuachie ndege yetu ya siku ya mwisho.
2026-10-19 05:26:17
0
CHILAMBO 19 :
Sema mwanetu arikua mbele ya muda
2026-10-19 06:39:02
0
âī¸ OFFICIALđĻŠNAYRA đĻŠđĻŠđ̧đ̧ :
munauhakika hii nch sio used
2026-10-19 05:51:58
0
My NAG :
kam I A kumbe kwer jmn watuwanalana mbay mhđ đ
2026-10-18 20:05:56
0
maisal :
dunia imeishaaaa
2026-10-18 13:54:12
0
Salim Mussa nyika :
mi napuliza banah
2026-10-18 16:42:10
1
Mudi Kimwaga :
gari ya mwisho kuipanda đĨšđ¤
2026-10-18 18:24:27
2
Mvungi kah fundi makini :
mali ya moto đ
2026-10-18 17:44:45
2
Mr go :
Njaa imetufikisha pabaya jamani
2026-10-18 15:21:39
1
To see more videos from user @bitokerubbega, please go to the Tikwm
homepage.