I really enjoy my company nishazoea siku hizi I'm ok
2026-10-18 15:13:43
2
W.w.peace e awakener🧘💧🕯️🤍 :
mnisaidie nihame juu nko confused what can I do if you're living with people hawakuelewi alafu wanakufokea
2026-10-19 12:02:39
1
ruksbaby :
Mmmmh I have a lot to tell.
2026-10-18 13:39:25
0
kassim muktary :
wamenitenga mbaya sana
2026-10-18 14:28:12
3
🐞Any🌸 :
Nimeshazoea
2026-10-19 05:46:33
2
starseed11 :
True bro
2026-10-18 10:48:05
1
Antony Namasaka :
Amen. I thank God
2026-10-18 16:10:33
0
Pamela :
hapo umesema ukweli kabisaa broo
2026-10-18 11:47:54
1
beatrice :
amen 🙏🏼🙏🏼
2026-10-18 11:45:44
1
Tatiana :
Mimi kaka nduguzangu wa Damu Yaani naishi kama kinda la ndege 🙌🙌 nipo mwenyewe na watoto wangu na Mama yangu Hata nikimshirikisha Baba anasematu usijali mwanangu
2026-10-19 12:10:51
0
awa phiri :
hapo.umesema.ukweli.kabisa
2026-10-18 11:51:05
2
nyakunde :
hiyo kitu himeniangaisha Sana tukikaa na watu usingisi mkali Sana hinapidi nitoke apo nanikitoka apo Niko saw
2026-10-18 07:49:39
1
KHAMIS ALI :
True 💯
2026-10-18 18:14:46
1
Ali adan malla :
mashallah..itakuwa bora zaidi usonge mbali uende uishi pahali mbali na hawa...kwa usalama wako..
2026-10-18 12:52:19
0
Ndaile :
kweli naipenda
2026-10-19 10:18:07
0
Irshaad :
tena hivi karibuni ndio hali hiyo imezidi
2026-10-19 09:17:57
1
Mamu Ismail :
Mimi daah
2026-10-19 12:11:02
0
alhabiby :
i trust it
2026-10-18 06:45:20
0
123,sparkling,l :
♥️🥰
2026-10-18 20:01:22
1
cherish@sweet :
wamenitenga wengi tuu
2026-10-19 08:40:18
0
Mukana Musuva❤️❤️ :
Mimi hapa nilitengwa na ndugu na dada naisha kama ndege mtini😏😏
2026-10-19 16:39:36
0
sadia :
mipia nimetegwa bila sababu lakuni namini niko na Allah karim Allah rahim
2026-10-18 19:46:54
2
k Malib21 :
11:11 Amen 🙏🏿
2026-10-19 19:18:31
0
Mzee_wa_mifumo😎 :
nimetengwa na wanasema najitenga😂😂
2026-10-19 11:02:50
0
mamaake abdully :
mimi huyo jamani
2026-10-18 13:08:12
0
To see more videos from user @husnybosh, please go to the Tikwm
homepage.