@mkuuculturaltourism: Maandalizi ya Mbege, Kinywaji cha Asili cha Wachagga! Jifunze hatua kwa hatua jinsi ya kuandaa mbege kwa kutumia ndizi, ulezi na maji, vinavyochemshwa kwa zaidi ya saa tano. Tembelea Mkuu Cultural Tourism ujifunze kuhusu maandalizi ya mbege, historia yake na matumizi yake katika mila na desturi za Kichagga. Karibu tujifunze, tuhifadhi na kurithisha urithi wetu wa kitamaduni! #Mbege #ChaggaCulture #CulturalTourism #Kilimanjaro #CulturalHeritage

Mkuu Cultural Center - Rombo
Mkuu Cultural Center - Rombo
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 07:50:38 GMT
32149
1536
25
241

Music

Download

Comments

manka6168
manka🙈 :
Ety ata manka simtaki 😂😂😂🙌🏻
2026-10-18 18:54:40
14
blossom_lily22
blossom_lily🌸 :
Nishamiss kirismasi😅
2026-10-18 18:27:15
0
lyamkeku
🇹🇿🌹𝐟𝐞𝐛𝐫𝐮𝐚𝐫𝐲🦋💕 :
mawiriii[Heart gesture][Heart gesture]
2026-10-18 16:37:22
0
55dreyz
Drêyz 🕊️ :
eeeeee nilikulaga izo ndiz nilichokipata 😅
2026-10-18 14:50:35
5
binti_hustler
Binti Hustler Store :
Daaaah! Oyaaaaa umenikumbusha mbali hio nyimbo jamni, hivi vichekesho nilikuwa navifuatilia sanaaa, nimesahau jina lake😂😂
2026-10-18 19:50:07
2
floridahbaltazary
Bellingham :
wachaga oyeeeeee 🥰🥰🥰
2026-10-18 14:45:36
5
user5182529161651
jamx :
😅😅Wow mbeg jmn aaaa tm sn 😂😂
2026-10-18 19:59:16
2
joe.msafi4
Joe Msafi :
Ndiy maandalizi hayo
2026-10-18 14:46:20
2
officialclintonkim
Kim ze great 🤪 :
Nimeona Kwa Jirani apooo 😳
2026-10-18 18:43:36
2
bp6wx
bp6wx :
Nikiwa naenda kilimanjaro kila nikifika pale HIMO hii ngoma inagonga kichwani bure
2026-10-18 19:24:13
1
samarjr_4
samar jr 4 :
hakuna kitu kama mbege bwahn
2026-10-18 18:48:32
0
cyrusshoo
MR CRUZZY DESTINY :
uwiiiii😋😋😋😋😋😋😋😋😋🥲 mpka mate yananitoka mdomoni na hamu na mbege sana nakumbuka mara ya mwsho kunywa ni 2013 mpka leo na hamu nayo kwli yaani
2026-10-18 22:28:27
0
anither_465
iam_anie🦋🥰 :
akuna kitu kama mbege awewwww 😂😂😂🫴
2026-10-18 14:01:34
1
officialclintonkim
Kim ze great 🤪 :
Mahunda hiyooo
2026-10-18 18:43:17
0
jamal.mlula
Jamal Mlula :
Akuna kitu kama mbegee 🤣🤣 Mameeeh
2026-10-18 18:51:34
0
musty_diego
Baba imran :
2026-10-18 23:16:05
0
user1554994758188
ÿøún̈g dämbøø :
ata mankaa simtakii
2026-10-18 16:15:35
0
faroyce52
Faroyce-🥰😍 :
@@Ms.Delly❤️✨ @datgalvee🎀 🤣😂😂 virutubisho 💯💯
2026-10-18 20:08:02
1
januarywaarusha
January wa Arusha :
[Ya kuvutia][Ya kuvutia][Ya kuvutia]
2026-10-18 11:39:51
0
To see more videos from user @mkuuculturaltourism, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About