Kwa mchina kuna sehem yanauzwa malai ya ubuyu huduma zao nzuri,sehem nyengine labda uende na msafara wa raisi nd utapata huduma nzuri maana hata huyo raisi mwenyew akijichanganya kuenda bila msafara atajibiwa mbovu ashangae,maana nakumbuka mnazi mmoja kuna mama alikua anaenda kujifungua sasa kutembea hawezi anakamata ukuta kuna dokta akamwambia "Spiderman ukimaliza kutembea ukutani utafute magorofa uparamie pia hlf utatwambia ukiwa tayar.ilibidi nicheke kwa hasira.
2026-10-20 13:53:56
0
Chulula ✨ :
wauza chips now be like 😂😂
2026-10-18 09:49:42
1
DARK_PRINCE 🖤🤍 :
😂😂😂
2026-10-18 09:43:02
1
To see more videos from user @cavani______37, please go to the Tikwm
homepage.