@saibot725: je hiyo 1000 imeenda wapi? #lifelessons #mindset #3danimation #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp

Benaya Isaac
Benaya Isaac
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 07:54:46 GMT
202396
10103
146
193

Music

Download

Comments

mtabili2
@lvin :
piga he's abused vizur
2026-10-18 17:26:20
0
iyuu.mapesaa
iyuu mapesaa :
elf 30 toa 25 ya kod inabak 5 elf 3 wmerjrshew sw na 28 elf 2 kachkua muhudm sw na 30
2026-10-18 10:15:51
3
ali.veikko
Ali veikko :
9,33333333x3=28 +2
2026-10-18 14:29:49
0
amess....1
amess :
9+9+9=27-2=25
2026-10-18 18:29:46
0
cxg62
SIXG :
apply log 2 base 10. jibu unapata
2026-10-18 14:39:39
0
mbacha.wa.mbachani
mbacha wa mbachani :
katika 30k waliotoa wamerudishiwa 3k imebaki 27 na katika 27k 2k kachukua muhudumu ilo limeisha
2026-10-18 08:22:12
30
idrisa.jaga
IDRISA JAGA :
amazing?
2026-10-18 08:13:00
0
ganng.36
GANNG36 :
30-3=27 kila mmoja katoa 9 9*3=27 27-25=2 25 room na 2 kachukua muhudumu usichote wa2 akili coz unataka afikishe 30k wakat maximum ni 27 A ya mathe darasa na nne inanisaidia bdo
2026-10-18 09:08:54
19
incthebest88
Withs :
25000/3=8,333.3333 8,333.333+1000=9,333.333 9,333.333*3=28,000 28,000+2000 ya muhudumu =30,000/= so walilipia 8,333.333+1000=9,333.333 na sio 9000 kwa kila moja
2026-10-18 10:58:10
11
malanda_jr22
Raisi wa kimara 🤵🏾‍♂️ :
30 bei ya Hawali..bei halisi 25. 5 ilirudi kwa wateja, wakapewa 3 kila mmoja achukue 1. Mudumu akabeki na 2. Kihesabu kila mmoja ya mteja alitoa 9 *3 =27..kumbuka Kila moja alirudishiwa 1. 1*3=3. 3+9*3=30 👌👌👌
2026-10-18 08:50:25
8
17musiala
yamal&Jamal :
25+3 = 28
2026-10-18 08:13:13
5
jayqatoto200
jay qatoto👑🥬🌿 :
Asa serikali isipate pato la Taifa😂😅😅
2026-10-18 08:34:39
9
kindahimself
ᴷⁱⁿᵈᵃ BOY🐇 :
hawakulipia 9,9,9, mkuu 😁😁😁
2026-10-18 17:13:52
2
salum.jora
Salum Jora :
ni esabu raisi sana ayoo wametoa 9+9+9=27 Uku ela yao 1+1+1=3 waliludishiwa. 27+3=30 ndiyo walio tumiya. AU UNAWEZA KUXEMA IVI wametowa 9+9+9=27 chumba wamelipa 25 muhudumumu wamempa 2 ambayo 25+2=27 nawoo wamebakiya 1+1+1=3 ambayo 27+3=30 ndiyo waliyo kuja nayo 10+10+10=30 akuna iliyo potea
2026-10-18 16:06:44
1
user3635334539075
izzy :
25000 ya chumba + 2000 iliobaki kwa muhudumu+3000 waligawana wao 25000+2000+3000=30000 buku ipo kwenye 25000 maana 8×3=24!
2026-10-18 09:19:54
6
peejayz46
peejayz :
unafaa kutumia multiplication na sio plus
2026-10-18 15:08:19
1
user6300444382063
Twaha kipingu :
unakosea unapo jumlisha Kodi na chench
2026-10-18 09:47:32
3
kulwampela
MPELA :
sio shilingi izo ni dollar mzee
2026-10-18 10:37:40
3
johariramadhani70
Marcela💖💞 :
Jaman tusome😂
2026-10-18 10:25:37
5
latrash_genious
latrash_genious :
Mmoja alitoa 9, wapili alotoa 9 na mwengine akatoa 7, na badae kila mtu akarejeshewa buku na muhudumu akabaki na buku mathematics 9 + 9 + 7 =25 walolipiachumba , 25 + walichorudishiwa 3, 25 + 3 =28 na muhudumu alibaki na 2 , 28 + 2 =30
2026-10-18 10:11:02
3
mkai241
sarome :
wew mwenyewe umesema imepotea kwaiyo usituchoshe
2026-10-18 10:31:57
3
bekasulley
suleybakari :
hesabu umepiga vibaya apo kwenye 9 ni 9.333333333333333 sasa ukirekebisha itakua ni 9.333333333333333×3+2=30
2026-10-18 08:34:54
3
yusratkismat
no one know me :
elfu 27 ni pesa iliyoondoka pamoja na pesa ya muhudumu, so uwezi kujumlisha faida walizobakia nazo ambazo ni elfu 9 kila mtu na hasara ambayo ni elfu ya muhudumu kwa pamoja
2026-10-18 11:12:04
3
midotrust7
Dabo H•♡♤◇♧☆ :
sikiliza mzee hakuna ela ilio potea ela alio chukua muudumu ambaye ni elf2 ndy inakuwa elf27 kwaiyo apo hujumlishi tena 2000 inatakiwa ujumlishe elfu3 ambaye amewarudishia unapata 30000
2026-10-18 09:17:20
3
salum_ismail
salum ismail :
mimi sielewi kitu mtu mmoja anieleweshe
2026-10-18 09:17:58
2
To see more videos from user @saibot725, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About