Mbingu inatoana wapi na bibi za dunia sasa? kwani watu wakifa wanakufa na bibi?
kwani mbinguni tena kuna bwana na bibi?
wa solomon ni yupi mbingu ilitambua?
2026-10-18 17:50:24
0
Charity Lekutit❤️ :
Thanks this is my message today am happy ❤️🥰🙏
2026-10-18 19:28:45
0
Bella :
Mm bora niitwe Mrs.so and so
2026-10-18 17:07:51
1
Joy :
but no one is perfect
2026-10-18 18:11:31
0
everlynendenga1 :
Tell them
2026-10-18 16:55:06
0
Rael :
nimekuweka Mahali nimeweka PST Ezekiel
2026-10-18 19:14:47
2
Rebecca Adhiambo :
mm bora nimepata mahali najenga nyumba yangu
2026-10-18 16:25:35
1
continue 🎧 :
mm Bora nilikuwa mke wa Kwanza nakatoka so natabulika na mbingu🥰
2026-10-18 16:47:29
3
sandra akinyi :
uzuri tumezoea hizi. maneno si geni
2026-10-18 18:18:47
1
find surds :
😂😂😄😄😄 as long as akuna mwenye amewai fika huko akarudi acha tuishi tu duniani
2026-10-18 16:11:50
2
What goes around comes around :
Nashukuru mungu kwa kua mke wa kwanza.
2026-10-18 19:21:45
0
King's Daughter :
Rachel alipendwa kuliko Lea
2026-10-18 14:13:19
0
calebkidake :
Waa wa kwanza ata alioleka na harusi na mimi nkaoa
2026-10-18 15:48:27
1
Yunny :
On point👌
2026-10-18 15:05:54
1
Juma Juma :
Nitakosana na wewe akii
2026-10-18 15:18:01
1
Nancie khalai :
Amen pastor
2026-10-18 20:16:28
0
Mercy Muli :
amen 🙏
2026-10-18 19:35:41
0
Rapid jane :
mke wa kwanza ama wapili wote ni wake na ni wa mungu,ni wapi bibilia inasema ati mbingu haitambui
2026-10-18 19:26:56
0
Mary Mangara :
ukweli lakini mungu utusamee🙏🙏🙏🙏
2026-10-18 19:26:48
0
user6272426773104 :
uzuri dhambi zote ni same
2026-10-18 20:21:30
0
maryqueency902 :
pastor hapo sasa kujapolepole haki nasiwalibarikiwa basi solomoni hangebarikiwa mungu angmlaanibasi
2026-10-18 19:47:00
0
The trio 😍 ❤️ 💕 :
Aki hiyo sijai sikia eti mke wapili mungu amtambui hiyo abana
2026-10-18 18:22:14
1
fancy@00128 :
kweli kabisa
2026-10-18 19:42:09
0
makori :
na sasa kama mmewachana na akaenda akazaa itakiwaje?
2026-10-18 19:32:42
0
To see more videos from user @sdachurchposts, please go to the Tikwm
homepage.