hakuishia2 kuniacha alinipigia cm video call akiwa nampenz wake mpya wakajamba wakanisingizia mm 🤣🤣🤣🤣
2026-10-19 12:25:44
5
Ayubu tz :
hili duka ume lifungulia wap nisije
2026-10-18 10:25:51
14
Lydia ❤️ :
Self employment 😂😂😂
2026-10-19 12:36:23
1
patroba sellestine :
mbna unaema sana boss wang
2026-10-18 11:15:28
15
Nasibu Miraji :
hvyo me naweka vyote kweny friji nakunywa😂😂😂
2026-10-19 11:41:49
6
tramp :
Bora kuanza na kidogo kikakua kuliko kuanza na kikubwa kikapungua
2026-10-18 09:52:23
12
begdhaji :
le petit poisson deviendra grand
2026-10-18 13:13:01
0
Leah🌹💐 :
Ahadi ni deni. Katimiza kwa wakati🤣
2026-10-19 08:59:07
2
mwa j collection :
mdogo mdogo ndo mwendo 😂
2026-10-19 11:15:08
2
beby Sara :
mungu ibarik Kaz ya mi Kono yahuyu dada Bora hata wewe kuliko anaye fanya Kaz za ndan mda wote kashika shavu mungu aikuze Kaz yako[Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-10-18 10:05:09
6
SHUJE KHANI :
nashindwa kuelewa
2026-10-18 11:08:12
5
Brighton Alex :
kuna ariee azaaa na 20000 saivii anamabasi kira mukowa pabana besth mungu yuko pamoja nawe
2026-10-18 10:36:07
6
𝓒𝓞𝓛𝓛𝓞𝓞 𝓚𝓞𝓡𝓘𝓡 :
Alafu utapata mtu anauliza mkate hapo
2026-10-18 11:19:27
2
mtanga zoka kulu :
kaza kuna wenzako hiyo pia hawana
2026-10-19 10:13:22
2
ommy :
duhh
2026-10-18 11:03:41
1
TATU MAISHA :
mwanzo mgum Allah karim
2026-10-19 08:26:02
1
asha 💚💚 :
kwaiyo uyo dada kakubalii
2026-10-18 09:59:37
3
To see more videos from user @blay621, please go to the Tikwm
homepage.