@lemacosmetics: usikubali uso wako uwe mkavu , kumbuka uso mkavu ni chanzo cha ngozi kutokua na afya , tumia hii moisturizer ya Simple kuongeza unyevunyevu usoni zipo za aina mbili chagua nzuri kutokana na ngozi yako 1.Hydrating light moisturizer hutumika na ngozi yoyote 2.Replenishing rich moisturizer hutumika na ngozi kavu