@ummu.salmabarsheba: #mombasatiktokers🌴 #barsheba nikijuwa naibiwa atanilipa token zangu

ummu salma barsheba
ummu salma barsheba
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 18 October 2026 09:02:44 GMT
25006
536
224
189

Music

Download

Comments

kawaya021electrician
kawaya021 electrician :
check wiring yako use qualified electrician not Kenya power man
2026-11-09 12:54:29
0
monarch731
Mona Lisa :
Njoo uishi kwangu 1k two days 😂
2026-10-18 10:49:59
9
coast.glass.ent
COAST GLASS ENTERPRISES :
unapata token ngapi ukiweka mia mbili?
2026-10-18 10:42:50
2
majidsaid951
majidsaid951 :
W.salaam iko hivi dada token zote zimewekwa deni ya elfu 20 nawengine 30 na wanakata kwa kila ksh.100 30% .Ninamaanisha ukinunuwa token ya ksh.100 unapewa units za ksh.70. Na ukiwauliza hii deni ya nini ?Wanakutoa njiani .Kwa hiyo hii ndio system wanatumia kuibia watu.Mimi nina token mbili na nikinunu ya ksh.1000 ilikuwa ikinipa units 48, na sasa ksh.1000 napata units 35 nyengine napata 27units. Ndio njia wanayoibia sasa maana watu wengi hawajui.Alla atawatosha inshallah.
2026-10-18 12:34:39
9
machacharichoo
machacharicho :
ukiona hio triangle it mins iko bypass.kuna wire nutral na earth zimeshikana mahali.ndio maana token zako zinaisha haraka.hata ukazima kila kitu.
2026-10-18 15:36:42
10
ummuhayfa5
ummuhayfa5 :
Kuna nyumba nliishi ilkua hivo kumbe jirani yangu atumia tokens zangu, mpka nliita technician akanifanyia sawa
2026-10-18 11:04:56
5
aminavickyvicky4
aminavickyvicky :
wlkm mslm warahmantullah wabarakatu mimi kwangu nilisafiri nikazima kila socket nikirudi inasoma 00 nyumba giza huo mchezo upo Nilipopiga kelele saa hii ya 1k naenda nayo mwezi na nusu
2026-11-05 13:02:15
0
asmahan8464
Oum Firdaus :
Mm naona hizi mpya ndio Zina matatizo,Yangu ni Kama hio,Moto Kaila kabisa na units yenyewe pia zimepungua sana,Mia Sasa imekuwa 2.7 kitambo ilikuwa 4 units
2026-10-18 10:02:27
3
sapra001_
Senior 🧢 :
keti siku nzima bila kuweka token, utamjua unae tumia. nae.
2026-10-18 10:39:12
2
fatmaswaleh338
Umm Khalid :
pengine kuna jirani yuwatumia yako
2026-10-18 10:25:16
2
ruru_maruru
Ema :
mimi kwangu elfu kwa siku nne.😩wallahi hata sielewi. tumeuliza kila pahali. mara wasema ati barabarani na maduka. barabara hata si main road, ni huku vitotoroni na viduka viwili opposite nyumba yetu.
2026-10-18 10:05:43
0
akim112001
Akim112001 :
Mimi siku Zote nasema afadhali ya meters,kwa mwezi unapata bill yako,token mtaliwa sana na serekali.
2026-10-18 20:56:04
1
aziza_sweets11
azfar sweets❤️ :
hta si kwko peke yako ni kila mahali mm ni baker yani pesa zote zaisha na token wallahy
2026-10-18 10:22:07
1
azzatty_backup
azzatty_backup :
landlord wakachukuwa hizo token za deni, then zalipwa kwa pesa za wapangaji, ukienda Kenya power utaambiwa mter ni ya lipa pole pole
2026-10-18 13:58:58
0
yusufhajji_babawataifa
yusuf hajji :
nisawa hivio mnk mmi pia Niko na the same nikiweka 500 NI siku 5 na natumia taa na fridge
2026-10-18 13:32:42
0
ummukharith2
Kichuna’s Glam 💋💄💋 :
Mm 1k kwa siku mbili nashindwa kuelewa wallah nnachokaa
2026-10-18 10:40:59
0
empress.flo
empress Flo 112 :
nitakutumia namba ya fundi arakaekurekebishia
2026-10-18 19:09:33
0
iddrississa2
iddrississa2 :
muulze mwenyenyumba vizuri
2026-10-23 15:58:32
0
ablah627
ablah :
JIKAZE U SURVIVE BILA UMEME SIKU TATU UONE ANAEKUTAPELI KAMA ATAWEKA
2026-10-18 18:58:45
1
cocktail_123
COCKTAIL_555 :
sijui kitu gani chaendelea..mm.pia nimeshindwa
2026-10-18 10:22:35
0
ahmed.jamal865
Ahmed Jamal :
Token ni moja lakini Kuna wengine wanatumia hiyo hiyo. Ukiweka token na wao wanatumia. Hii deal maybe Hao wanaoweka hizo token wanazifanya wa najua huu mchezo.
2026-10-18 10:30:47
1
zarebby2916
zare toto la kiduruma :
Mm naeka ya 50cku mbili na nina friji mcrowave mashine ya kufua
2026-10-19 04:01:22
2
faithsalash
sally :
watumia na wenzako chunguza hata mm ilinifanyikia hio
2026-10-18 11:07:38
2
nazlyne3
Nazlyne3 :
Aslm alykum nakuskiza walahy kama najiona, last month niliyapitia hayo. Hatulii pesa ni token tu. hivo hivo unasema 500 kwa siku 200 masaa matatu manne nikataka mpaka kuhama nikafkiria garama na nyumba nimekaa miaka 3 ,Lakini Alhamdulillah niliyafwatilia mpaka nikasaidika. Sahi imerudi sawa.
2026-10-18 18:45:39
0
nashuu002
nashuu heena :
sasa usiku usiweke alafu angalia kwa jirani gani hana stima utajua
2026-10-18 12:13:26
0
To see more videos from user @ummu.salmabarsheba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About