@petershalulilefans: joseph guede🤫🤫#wananchiiiiiiiiiii🔰🔰🔰 #yangasc #ShalulileFans #yangasc💚💛 #simbavsyanga

shalulile_fans
shalulile_fans
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 09:06:23 GMT
26247
1365
85
51

Music

Download

Comments

isaiah8627
Isaiah :
kelele nying mkisema mkumbushie ya nyuma mnamkumbuka kichuya kona goal
2026-10-18 11:52:02
9
shabari433
Hamis Masud :
onesha kama ilo
2026-10-18 12:08:36
8
fredrico023
Federico@360 :
mtajua wenyewe sisi juzi tu🤣🤣🤣
2026-10-18 10:45:43
2
allyurembo735
Ally Urembo :
halafu hili ndio lilikuwa na kibabe sana angali mpira ulivyotoka halafu gwede alivyo uzima
2026-10-18 10:13:04
5
dady.k51
Eliy JM💢 :
alarajiga alikuaga anawabeba angalitu kwanza mpira alipo upokelea
2026-10-18 15:05:52
0
juma.yasin20
salimu mgz 🇹🇿 :
walikuwa wamejisahau kama wanaludia ambayo yanga wamesha Fanya zamani
2026-10-18 10:54:06
1
abby.sniper7
⚜️☠️…Abby sniper…☠️⚜️ :
Sio kubondwa shida kipindi gani pia ilikua wapi
2026-10-18 13:38:25
0
harvetz22
HÄVËŘŤŹ :
kwel bhana
2026-10-18 11:03:25
1
samwelpeter_b3x
SamwelPeter_b3x :
watu wanasahau
2026-10-18 11:22:07
1
lawrence.kid.marl
Lawrence Kid Marley :
tuma nyengine tuone kama yalibondwa Sana maana sisi mpk puskas ya Chama
2026-10-18 11:27:21
1
amarya473
amarya :
napenda unavyo wakimbiza uwanzan.
2026-10-18 09:21:21
1
user1269821245798
Aniry :
matokeo yaliishaje
2026-10-18 18:01:55
0
userjdoubledi
J.double.di :
Tatizo simba kumfunga yanga kwake ni big shereh so hatuwashangai hao simba[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-18 17:02:30
0
saguda.maige
saguda maige :
kama yalipita hamkuyaenjoy tunawakalibisha simba
2026-10-18 17:09:16
0
allymohammedi611
@AlyBey :
onyesha kam la.neo
2026-10-18 15:28:37
0
0756948294kulwa
kulwa juma :
uwakika
2026-10-18 16:57:42
0
user282048521339
abasi sajidu🤙 :
ilo goli alijawai fungwa apa bongo ni ilotu
2026-10-18 11:13:54
0
naylah_oman
princess niffer💞💖🇹🇿🇴🇲 :
saiv Kila wanachokifanya simba s tushafanya mda🤣🤣🤣
2026-10-18 11:18:26
0
zainab79428
z :
😂😂😂😂😂😂na hiije😂😂😂😂uiiiiiiiiiiiiii
2026-10-18 14:51:20
0
ynwa22hugo8sobo9ai
Gsm...gabriel..001 :
2026-10-18 14:38:40
0
emmanuel.amos51
Juma@2050 :
na la koblan hukuona mbona unajisahau
2026-10-18 15:48:44
0
ckizze_maney1
Wix_owin☠🇹🇿🇹♤ :
wawekee na ya pacoume na mzize afu uweke na come back ya mayele ngao ya jamii afu Tena weka Ile walitufunga gol mbli tukaja tukawakanda na gol 1-5 😂😂
2026-10-18 18:21:27
1
worldwide20264
fidel castle ©️®️ :
😄😄 mbn hat fred fung funga alimfunga diarra goli kam hlo
2026-10-18 16:53:05
0
user3707386982337
Trent@17 :
mtasema kila kitu
2026-10-18 15:18:25
0
fanuelimwaluko
fanuely mwaluko :
kweli kabisa tusha fanyaga mda sana
2026-10-18 11:52:29
0
To see more videos from user @petershalulilefans, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About