Unatembea kwenda kuzima taa mwanetu, sio maneno yangu haya maneno ya anko T😂🙌
2026-10-25 10:53:53
5
👑princess zey🎀 :
@q
2026-10-27 10:17:29
0
Niah13🤍 :
Pazuri mnoo
2026-10-29 17:10:44
0
ummy :
umeweza bwan pazuli umepangilia vizr kushinda hata uyo anae kaa kwenye iyo nyumba ya laki tatu unaeza ukamkuta mtu ananyumba kubwa lakin hawezi hata kuipangilia vzr
2026-11-04 13:02:53
1
Kazaura_Jr :
kwann utoboe ukuta na TV ya inch32 Kwan kwenye Stull haikai😂😂😂
2026-11-04 18:14:07
0
Faby Prince Alvin :
na tv yako ya 32
2026-11-09 11:37:53
0
nuruissa460 :
kitanda beingani
2026-11-12 13:47:31
0
shuu :
hko kitanda umenunuy kwa nan
2026-10-27 07:37:40
0
To see more videos from user @kngseed4, please go to the Tikwm
homepage.