mbona ajar zimekuwa nyingi sana cjui ttzo nn aisee dah ,polen wapambanaji
2026-10-18 15:41:41
1
Bobu kanabino :
vip ndy wametok salam
2026-10-19 12:20:50
0
harshim isa :
poleni sana
2026-10-23 07:56:37
0
Godfrid Ndunguru :
atali sana
2026-10-18 18:06:43
0
lucky mushy 💪🧘 :
na iman hamna aliyekufa 🧘🧘
2026-10-18 13:30:56
0
Young dc08 :
pole bwan
2026-10-19 07:53:38
0
mdudu :
kweli kabsa
2026-10-18 15:20:19
0
keyirashid :
poleni sana jamaa ze2
2026-10-19 08:13:08
0
mpagamax :
Asante kaka mkubwa
2026-10-18 21:20:55
0
lucasdeogratius4 :
🙏🙏
2026-10-18 18:03:31
0
musindiamuyano :
Haya vipi hali ya dereva wake ikoje?
2026-10-19 09:01:31
0
josphat mwaura786 :
There are specific truck built to carry such load
2026-10-19 09:12:11
0
Howahowa :
Yawapi iyo gari
2026-10-18 14:28:35
0
Daniel Elia. :
poleni Sana ndugu zetu.
2026-10-18 19:50:45
0
Dickson John :
namba za RTO wote Tanzania hii itawasaidia mnapo ona madereva wako na mwendo mkali kupitiliza toeni tarifa kwa RTO
2026-10-18 21:45:10
0
MJUKUU wa HOPE. :
duuuh
2026-10-19 15:43:35
0
masozy the truck driver 🚛🚚 :
noma
2026-10-18 20:19:04
0
Jaja Henedy :
sanaa mpambanaji 👍
2026-10-18 19:52:55
0
mwembe Finest no 1 :
iyo ya nani brother
2026-10-18 10:44:03
0
BABA ASNAT HUSSEIN :
upo sahihi hata Mimi Huwa nawasha ngaa
2026-10-18 15:50:21
0
🫧𝒫ℛ𝑜 𝔭𝔯𝔢𝔞𝔠𝔥𝔢𝔯𝔪𝔞𝔫 :
nimekuona jana mwanangu ulivyo piga kubwaa ila mwenyezi mungu alikua pamoja nawe iyo down apo uliyo tema jiko na hiyo lose cargo yako nafkili umejifunza kitu mwanangu kwamba si kila mzigo unapaswa kukimbia kimbia kuna mizigo inaitaji nidham na iyo road ya kusini jau san[Fire]✌️
2026-10-18 16:06:23
0
Chris charles :
kuna madereva wanajisikia sana wakiwa kwenye hayo magari hasa madereva wa scania
2026-10-19 13:18:05
0
DJ abedi 0687542898 :
nayakumbukaaa ayo manondo dah
2026-10-19 15:13:53
0
To see more videos from user @kaswelydekaswely, please go to the Tikwm
homepage.