Mungu ndo mtoa hukumu akun kiumbe yeyote anayeweza kumuhukumu mwenzake
2026-10-18 12:47:22
7
Vee modo🥰 :
Sasa msikiti unaruhus mt auwawe kweliii
2026-10-18 14:46:02
3
Madaraka Kienula :
tumia bro hakuna anayeweza kufanya ngono msikiti wa makka
2026-10-18 13:55:03
3
waupe :
sio kweli uongo hio
2026-10-18 12:34:39
1
𝐓𝐱_𝐨𝐩🦺 :
hukumu ya kuua ni ya allah pekee[Embarrassed]
2026-10-18 12:43:05
1
TwahayTwamghailayaali :
hii si kweli hta siku moja
2026-10-18 12:37:05
4
BURACK💞 :
astaghafirullah laadheem
2026-10-18 18:20:33
1
Mwalimu Chris :
UNA UHAKIKA UNACHO KISEMA KIJANA?
2026-10-18 18:08:37
1
Ramadan Amour :
ndokwanza nasikia
2026-10-18 12:05:36
2
Shakira Athuman :
jamani wali kua wana taka wagundue nini
2026-10-18 17:19:47
2
masoud saleh shaban :
Da dunia imeisha jaman
2026-10-18 16:41:58
1
zulfat chimamy❤️❤️💦😘🥰 :
mmh ufanye mapenzi apo kweli
2026-10-18 12:35:57
1
Haidar Heda"5 :
je hii ni kweli au vp
2026-10-18 11:49:59
1
Mr.Bright :
Kwa akili ya kawaida ni ngumu mtu yoyoyte kufanya mapenzi mbele ya kadamnasi ya watu, mbali kuwa ni msikitini haiwezekani watu kufanya mapenzi mbele za watu mfano sokoni, kwenye mikutano, kwenye maandamano na sehemu nyingine zote zenye watu wengi. Hii taarifa sio ya kweli 🤔
2026-10-18 18:07:50
1
@Bkr Nurgamedov :
subhanallah
2026-10-18 12:22:03
1
Ramadhani Abubakaly :
nnnh
2026-10-18 11:25:20
1
Jmapunda :
ila kwer dunia inafika mwisho yani sehe ambayo tunalia kwenda kutubu watu wanaenda kufanya dhambi kubwa ya kuzini
2026-10-18 13:04:51
1
sulesh :
dah
2026-10-18 11:28:51
1
Queen malikia :
🤣🤣🤣 watu wanapenda kujiamulia mambo jaman mmmh
2026-10-18 20:24:49
0
LACHAMPIONER👑👑👑 :
october 26 ipii hioo
2026-10-18 20:06:26
0
ŠĤƏŽ :
Asthaghafirulah🥺🥺
2026-10-18 19:38:41
0
To see more videos from user @duniayako_, please go to the Tikwm
homepage.