Tuombe kwa ajili ya watoto wetu wanaoingia kwenye mitihan kesho Asante baba mungu wa mbinguni uketie mahali pa juu palipoinuka tunashukuru kwa upendo wako na huruma zako unazotuhurumia sisi watoto zako wakosefu tazama tunakuja tena mbele zako tukiomba rehema yako na msamaha kwa ajili ya zambi zetu sisi na vizaz vyetu tunaomba utusamehe kwa jina lako takatifu na tuanze mwanzo mpya unaokupendeza MUNGU utusaidie maana kwa msaada wako twayaweza mambo yote Asante pia kwa ajili ya watoto wetu waaoanza mitiani ya kesho MUNGU wa mbinguni tunaomba ukawasaidie ,ukawalinde ukawongoze katika mitihan Yao wakawe wenye ujasir na nguvu na wakawe wenye ufahamu wa hali ya juu na tumain lako MUNGU likawe msaada wao wasiogope chichote akawilinde na Kila mkono wa adui muovu shetan mungu akawape ujasili katikati ya mitihani yao na kumbukumbu za masomo yao walio jifunza na hata ambayo hawajajifunza wala hawajui akawape njia njia ya kufanya kwa namna yoyote na mitiha na ikawe ya kawaida na wakafanye vizur na wakawe wenye nguvu wakamalize salama KWA JINA LA BABA NA LA MWANA NA LA ROHO MTAKATIFU AMINA .BABA ULIE MBINGUNI JINA LITUKUZWE UFALME WAKO UJE MAPENZ YAKO YATIMIZWE HAPA DUNIANI KAMA HUKO MBINGUNI UTUPE LEO RIDHIKI YETU UTUSAMEHE MAKOSA YETU KAMA NASI TUNAVYOWASAMEHE WALIO TUKOSEA USITUTIE MAJARIBUN BALI UTUOKOE NA KILA YULE ADUI MUOVU KWA KUWA UFALMENI WAKO NA NGUVU NA UTUKUFU SASA NA HATA MILELE AMINA ๐๐
2026-10-18 19:20:20
13
abi :
mungu awafunguriy neemaa paspo na neema mungu awarindee nanguvu zagizaa zikapatee kuxhindwa kwa damu yakee
2026-10-18 17:08:16
36
baby g cuteโค๏ธ๐น๐ฟ๐ :
me moyo wangu wananikumbusha 2024 jomn
2026-10-18 19:17:47
12
dijah mairah :
Mungu awabariki awape ufahamu, awatoe hofu AMINA
2026-10-18 19:22:05
7
official Queen :
amina mungu awatie nguvu na kufungua akili zao
2026-10-18 19:35:35
9
reen๐งโโ๏ธ :
best wishes
2026-10-18 18:52:08
0
mdogo kevi :
All the best to all form fours mung awatangulie๐๐
2026-10-18 20:52:36
0
trixee๐๐๐ :
all the best wish yours good luck
2026-10-18 20:40:45
0
Shammycute :
Amina [Pray][Pray]
2026-10-18 21:44:14
0
user407248149842 mwajei :
2019 national examination
2026-10-18 20:21:15
0
Lightcute :
mungu awafanyie wepesi afungue fahamu zenu msisahau mloyasoma muapo ndani ya vyumba vya mitihani
2026-10-18 17:40:55
12
๐๐๐๐๐๐๐ข :
amin amin
2026-10-18 20:05:56
0
Katarina :
Mwenyezi mungu akawasimamie mkumbuke yote mliyofundishwa na walimu wenu roho mtakatifu akawape wepesi wa kujibu maswali
2026-10-18 15:48:42
8
zubeda selemani :
amin ukamsimamie kaka yangu na akumbuke walichofundishwa