@wendefm: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewataka wanaume kujiepusha na vitendo vya ukatili vinavyotokana na migogoro ya kimapenzi, akisisitiza kuwa wanaojihusisha na mauaji watachukuliwa hatua kali za kisheria. Akizungumza na wananchi wa Mkoa Njombe Oktoba 10, 2026 katika viwanja vya stendi ya zamani ya Makambako wakati wa mkutano wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh, Deogratius Ndejembi, Katambi amesema changamoto za kimapenzi hazipaswi kuwa chanzo cha kupoteza maisha ya watu. Amesisitiza kuwa wanaume wanapaswa kudhibiti hisia zao na kutafuta njia za amani za kutatua tofauti katika mahusiano badala ya kutumia vitisho, vurugu au nguvu. Katambi ametoa wito kwa jamii kuzingatia umuhimu wa kuheshimiana katika mahusiano, akionya kuwa wivu na migogoro ya kimapenzi havipaswi kuhalalisha vitendo vya uhalifu. #nguvuyaupendo❤️🤍 #wendefm

Wende FM
Wende FM
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 12:30:12 GMT
35430
1293
41
228

Music

Download

Comments

corzone6
coràzone :
mbona hata sisi wanatuzalisha afu wanatutelekeza wanaenda kuoa wengine
2026-10-19 05:28:32
1
mwitacharles20
baro20 :
Elnino yetu
2026-10-19 04:22:36
2
mapesawhite
😎MAPESA⚪️🏹 :
Jamaa kaonge pont sanaa🔥🔥
2026-10-19 05:02:40
1
john.chacha71
john chacha :
kweli kabisa
2026-10-18 17:56:46
1
sojamhehe
soja mhehe 🙏🙏 :
TUZIDISHE maombi🙏
2026-10-18 16:12:29
2
mankasoka16
[email protected] :
hapo Kuna mambo haya????
2026-10-19 05:53:31
0
user7829443468181
protas werbeck ndinde :
mkuuu kwer kabisaaa
2026-10-18 22:30:20
1
chekitabasamu
Cheki Tabasamu :
ni sahihi limenikuta jambo zito
2026-10-19 05:43:17
0
moodymus
PR.MOODY CARGO🫡🚍 :
point
2026-10-19 04:42:50
0
ben_soni
Benson :
kweli mkuu
2026-10-19 05:35:24
0
user9633578400471
usitumie pesa kama panya :
kweli umesema nimeipenda
2026-10-19 03:53:52
0
kimena918
G7🦍KIMENA🌍 :
😅👏👏👏👏
2026-10-19 04:39:28
0
vanstrm3
Evance Tarimo :
mtetez wetu yu hai
2026-10-19 05:17:01
0
user21767097523675
Black American :
MUNGU AKUTUZE KIONGOZI WANGU UMEONGEA POINT SANA 🙏🙏
2026-10-19 05:03:25
0
demonvoice89
MSALITI :
Kweli 😂
2026-10-19 04:26:40
0
mtumishi080
mtumishimathias8 :
Jamani mapenzi
2026-10-19 02:54:11
0
masavabenedicto
ezekiel massava🇹🇿 :
mapenzi na ulinziwapnawap
2026-10-18 17:32:18
0
abdulikapela
ABDULI KAPELA :
😂😂😂 ila wanaume
2026-10-18 13:13:44
0
jumakomano163
jumakomano@86 :
katika siku ambay umeongea fact ni hii jap ilikuwa sio sehm sahii kwa ungeita ata mkutano ili itolew elimu kuhus mahusiano na iwape na asala zake nimeipenda ulip sema kwamba utawaach wengne wanateseka yan asala mwish kabsa good very nice.
2026-10-18 19:52:30
0
emmanueldiyomedi
emmanueldiyomedi :
Hahahahaaa
2026-10-18 20:14:08
0
ndimbolau
Laurencia :
utajuaje sas
2026-10-19 06:45:42
0
benjaminkamani
ng'wana eliza❣️ :
uhakika mweshimiwa
2026-10-19 02:48:05
0
eliya3756
001, 🫆🫆💤💌 :
respect 👊 muheshimiwa shalamila
2026-10-19 06:14:17
0
user8617729061081
Mdete Geofrey-Makamba-Ipogolo :
sahihi
2026-10-19 01:13:54
0
user8727742203373
joff lugome :
kweli na isemwe kweli
2026-10-18 18:52:20
0
To see more videos from user @wendefm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About