@majiradigital: Padre Patricio Sánchez anadaiwa kufariki dunia wakati akiongoza misa katika eneo la kusini mwa jiji la Guayaquil, nchini Ecuador, katika tukio lililowashtua waumini. Kwa mujibu wa taarifa zilizosambazwa, msalaba wa mbao uliokuwa nyuma ya padre huyo ulianguka na kumpiga alipokuwa akiendesha ibada hiyo iliyokuwa ikirushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii. Hata hivyo, mazingira kamili ya tukio hilo na chanzo cha kifo chake bado hayajathibitishwa kwa taarifa rasmi. Tukio hilo limeibua huzuni miongoni mwa waumini, huku taarifa zaidi zikisubiriwa ili kufafanua kilichotokea.
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie na apuumzike Kwa amani
2026-10-18 17:07:13
173
✝️ JULIANA 🦋 :
Mimi na shangaa watu wana sema akome? je, wewe unajua utakufa kifo ghan? si bora yeye kafia kanisani. all in all ROHO YAKE IPATE REHEMA KWA MUNGU NA IPUMZIKE KWA AMANI 🙏🙏
2026-10-18 17:57:42
54
Fau🦋🦋 :
Tena inaelekea ulikuwa mzito jaman Duh Innalillah waina rah rajiun
2026-10-18 18:14:46
17
🦋aiem Lenaa🦋 :
video haichekeshi ila comment mmejua kunichekesha🤣
2026-10-18 18:54:56
0
Ms vee🥰 :
😂😂Kuna mtu kasema akome
2026-10-18 17:40:01
17
baya :
akomee
2026-10-18 16:50:06
21
Asilia Jr :
kwahiyo hapo kauliwa na mungu au tunasemaje?
2026-10-18 18:01:58
14
ctyamiry :
Kafa kweny ushahidi wa kumsaliti Mola wetu loo
2026-10-18 16:18:37
60
zuddin 🐯🐯 :
hapo Kuna mambo haya ✌️
2026-10-18 17:39:40
12
AMOSI@415 :
Bora nisinge ingia comment room 😂😂
2026-10-18 18:45:47
0
حميراء🌺 :
Yesu kaua [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-18 18:14:20
0
Middy black middy smile 😉 :
target
2026-10-18 18:56:55
0
🌻🌻$ingida Girl😘😘 :
kuna watuu hamna hata aibu wala hofuu y Munguu,,mnacoment vitu vya ajabu , Mungu awasameh kwakuwa hamjui mtendalo
2026-10-18 17:41:04
23
agnesagnes1340 :
Mungu ndiye anayejua,,,, apumzike kwa amani
2026-10-18 17:48:50
10
Salmyy 💕 :
Mash Allah kafia madhabahon kulik wengin wanafia at guest Mungu atup mwish mwem wot ❤️
2026-10-18 18:14:00
7
Anne JR :
kristo
2026-10-18 17:30:25
0
IMU4️⃣👊KIDD"😜🤟🤟 :
mung kawapa la anaa
2026-10-18 17:05:53
8
noahmashon :
sasa kuthibitishwa vp na camera zinaonyesha
2026-10-18 17:02:41
9
dudwa :
uzuri leo kau yesu mwenyewe
2026-10-18 18:24:28
0
Ahlam Nunu💦🧸 :
Sijui hata nacheka nin😂😂😂
2026-10-18 18:27:39
3
Hopefully🙏 :
heri wafao katika bwana🙌🙏
2026-10-18 18:14:19
3
LEILYA PANGALCY :
ila kabondwa duuuh 😭🥺
2026-10-18 18:01:58
1
SHADIDA🌹💕 :
hhhhhh alosema ndo akome nna zawadi yake mana comment yak nimeipenda 😂😂
2026-10-18 18:28:39
4
To see more videos from user @majiradigital, please go to the Tikwm
homepage.