@wepesitv: Waziri wa Mambo ya ndani Patrobas Katambi amewataka wnaume Nchini kuchukua Hatua ya Kuepuka kuingia Kwenye mikono ya Sheria kutokana na kuhusika na mauji ya wake zao pindi wanapo tofauti Baadhi ya Mambo Katika ndoa zao. ‎ ‎Akizungumza na wananchi wa Makambako Mkoani Njombe Katika mkutano wa Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi, Katambi amesema migogoro ya mapenzi haipaswi Kuwa sababu ya kupoteza Maisha ya watu. ‎ ‎Aidha amewataka wanaume Nchini kudhibiti hisia zao na kusema kuachwa au kugombana na mwenza isiwe sababu ya kufanya mauaji kwani Hatua za kisheria haziwezi kufanya kazi yake.

WEPESI TV
WEPESI TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 12:35:24 GMT
82749
2208
101
450

Music

Download

Comments

pn123670
pn12367 :
Wanaume msitegemee kupendwa bila pesa
2026-10-18 14:04:46
19
balama_store
balama_store :
Uwambie na wao hata sisi wanawake hatutaki kuchezewa
2026-10-18 14:19:53
20
kisiwanifishersmbeya
KISIWANI FISHERS 🎣🐠MBEYA :
sawa muheshimiwa waziri umeongea kitu kizuri 😂naandaaa mkataba apa
2026-10-18 14:47:54
0
hilarydaudi
hilarydaudi :
Ewaa kumbe Wazili anajuwa kuwa kuna biashara
2026-10-18 13:53:24
16
salomedeus1
Salome chomo :
jamn nachoka mm
2026-10-18 13:28:42
1
user7197407297052
Masali :
😂😂😂😂 , Kweli mkuu umeongea ukweli
2026-10-18 13:42:22
9
user9034812917494
Leonia :
wanatuchangnya na wengine unakuta mtu mpo zaidi ya tano anakuchezea alafu anakutema na sisi tuna umia
2026-10-18 16:34:33
1
mauwezodrummer
Mauwezo drummer🥁official :
2026-10-18 14:56:21
1
aisha.babu4
MAI :
wanaume sahiv wanatuchunaa wanatuibia
2026-10-18 13:56:10
3
user38127935305074
Veronica_lekashu🥰 :
🌹🌹🌹 pokea maua yako .
2026-10-18 13:49:30
3
slvia203
slvia :
ndio na sisi tumeshutuka saiv
2026-10-18 17:07:22
1
user6280757014428
user6280757014428 :
tengenezeni Sheria mapenzi yawe biashara
2026-10-18 17:15:01
1
michaelmbutu541
sarah isaya :
kwell kaka
2026-10-18 13:05:41
2
user2032483408269
Gfty🥰🥰🥰 :
katambi nimekuelewa
2026-10-18 13:56:00
2
fredi_g_
Fredi G✅ :
2026-10-18 15:09:29
0
frankluguzura
Frank Luguzura :
non sense
2026-10-18 14:17:46
1
user4621778787720
samaha kaponda :
balikiwa wazilii
2026-10-18 14:15:07
1
user38121381417371
mwita80 :
kweli brotha
2026-10-18 13:53:36
1
user9510257333070
janeth bint laitony :
Kabisa yani
2026-10-18 14:06:45
1
officialelly92
E L L Y :
namuona father yuko nyuma kama sio yeye
2026-10-18 14:54:59
1
abuu.dhulqarinain3
Abuu Dhulqarinain :
KAKA UMEONGEA PONTI ASILIMIYA 💯
2026-10-18 14:22:36
1
mamamaiko4
user5455015683363 :
kabisa jaman
2026-10-18 17:38:58
0
user5832888142729
user5832888142729 :
mh.mimi namalalamiko makubwa Sana sijui nimfanyaje
2026-10-18 18:25:29
0
zefaniamwita
HAALANDY :
fact
2026-10-18 17:46:49
0
nyasafarmhouse
nyasafarmhouse :
Nashukuru umeniokoa muheshimiwa😞😞😞😞
2026-10-18 17:53:06
0
To see more videos from user @wepesitv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About