@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh abdulrazak Amir Amezungumza Kwa Wale Ambao Wametoa Talaka Tatu Kwa Wake Zao Wakiwa Bado Wanawapenda Gharama Za Kuachana Na Mkeo Kwa Kutoa Talaka Tatu Kama Unataka Kumrudia tena Ni Lazima Uyo Mwanamke Aolewe Na Mwanaume Mwingine Alafu Aachike Ndipo Wewe Utaweza Kumrudia tena.
mm wangu tangia kanioa alali kwangu ana lala kwa mke mkubwa uwa anakuja nakuondoka na akasema mke wake kasema akiwa kwake ni sipge cm alafu ukiangalia na mtoto mdogo kaz atak nifanye mke wake kafungulia biasha mm kiukweli nimechoka nikidai talaka anijibu chochote apa tangia tarehe 4 mpaka leo sija muona kweli jaman hii ndoa kweli mm mimechoka
2026-10-18 17:54:39
3
hadiya :
hilo nalo neno waambie bwana waache watu wajinafas
2026-10-18 15:27:10
1
damwati :
@abdoulmkali
2026-10-18 17:58:44
1
Kiruwa zuwena :
🤣🤣🤣
2026-10-18 14:12:56
1
samirah tundu :
🥰🥰🥰
2026-10-18 14:13:04
1
eunice :
🥰😂😂🙏
2026-10-19 17:16:50
0
To see more videos from user @jukwaa.la.maarifa, please go to the Tikwm
homepage.