Kuna dem Alianiacha kaka nikapata wakati mgumu sana nikawa naangalia maisha yangu natupia nguo navaa vzuri duh mwisho wasiku naona anataka kujirudi kwangu nampenda Bado ila nimekaza kaka staki kurudiana nae Tena kaka mana anaweza Kuja kuniumiza Tena japo moyoni Bado nampenda sana
2026-10-18 14:22:42
16
DELE🕸️ :
ngoja leo nikamuangalie ya mwisho😁
2026-10-19 10:57:56
12
velasquiz :
Shida true love never die
2026-10-18 16:02:13
3
4⃣🇹🇿🇰🇪𝑇𝐾𝑄🇹🇿🇰🇪5⃣ :
Kaka shida simu angu Kila nikijalibu kumsahau nimesavu namba ake kwa email ang na email ang ya muhimu sez futa email kisa yy daaaah inauma lkn Bado poaw
2026-10-19 16:35:25
5
Mustaph Saidi :
Uwakika familia yangu nzuri iyo🫡🫡💪💪
2026-10-18 13:25:13
8
MWALA ~ JAY👑 :
kak unakaa wap man nimeona umepataja mlandiz
2026-10-19 15:36:39
5
Nazarius Emmanuel :
😁😁😁 sawa kaka
2026-10-18 14:51:30
3
Kagga Kizzy :
Kabis kak
2026-10-18 15:21:58
2
mzambul :
Nakubal broo
2026-10-18 15:53:14
2
Stephano Tangasi :
sawa
2026-10-20 19:34:38
2
kingmoglybuga😁 :
Kabisa kaka
2026-10-19 07:41:41
1
TANZANIA 🫡 KENYA 🤔 BUSOKELO :
live kaka
2026-10-18 19:35:06
2
MR AL💔NE🙌 :
mwanang nipe namba akooo
2026-10-18 14:27:10
2
dullah mshely :
kwel kak
2026-10-18 15:37:18
2
Ateba :
Imeenda mjin sana ihh
2026-10-19 08:02:19
1
Masha Hamisi :
kweli
2026-10-18 19:38:53
1
KING CHAZ 👑 :
sure
2026-10-19 16:36:49
1
hassanmangi41 :
Fact broo
2026-10-18 20:10:23
1
kuruthumu omary :
wambie wambie ☺️🤣🤣😂🤣
2026-10-18 19:00:49
1
Jules💋💋💞💓💘💘💗💯 :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰aaaa pole sana
2026-10-18 13:31:07
2
Erick Egbert :
pamoja kk
2026-10-18 13:45:42
2
To see more videos from user @africanfansbackup, please go to the Tikwm
homepage.