@muftiibnkaswezi: #creatorsearchinsightsview #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokindia #prayerfordivineprotection #creatorsearchinsights @Baba Haleema @MSAGATY DA'AWA @Ustadh Naheka online Tv 📺 @Abdurahman Msafiri [شيعي] @SHEIKH MBOGOTZ @Salim @Prophet_isaiah_mkailwa @Rashid Ally @shekh mp tamta tanga
Mufti Ibn Kaswezi
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 13:25:06 GMT
Music
Download
Comments
jumannerashid :
Shekhe kaswezi naomba hadithi ya mtume Muhammad.inayo thibitisha hayo unayo yaongea nasi porojo zako.Mmmmmmh dunia hii yaani we acha tu
2026-10-18 14:51:05
3
salehe :
hizisimu zamikopo tutayaone mengi
2026-10-18 18:58:03
2
A'aziz :
unasemaj kuhus aya ya mwenyez mung anaposema wamaa qataluhu wamaa swalabuhu ......
inaendelea
2026-10-19 09:29:02
0
hamzayusuf773 :
we alliye kunza kukufira unawez. kumkumbuka tutajiye
2026-10-18 14:45:42
1
omaryzain1 :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] mbav zangu
2026-10-18 17:09:15
0
goodlack Risso :
naomba kuuliza hayo yatatupeleka mbinguni au🙏🙏
2026-10-18 16:56:55
1
user5197109600421 :
Yesu Kristu ajafa yupo Hai,
2026-10-19 04:56:44
1
morepower :
jee nabii Muhammad alipokuja hakulifahamu hili
2026-10-18 14:17:21
0
Hubert Mkoka :
sasa alizikwa akiwa hai?
2026-10-18 20:42:57
0
Abdul Mhina Mgosi :
mimi simuelewi kabisa kitabu gani hicho?
2026-10-18 19:08:10
0
samwel mdolo :
issa ninani kwani katika uwisilamu
2026-10-18 17:37:54
0
NICOLAUSBARNABA :
Yesu wangu jamani ulifuata nn india tena eeehh aise
2026-10-18 20:48:43
0
SuleimanKibet149🇰🇪 :
Masha'Allah Mufti Ibn Kaswezi sahib
2026-10-19 02:56:07
0
yomboyusufyousuf :
Ukweli unadhihili usiku na mchana Hakuna nabi yeyote wa kabula ya nabi mtukufu Muhammad saw aishi mirere abadan
2026-10-19 05:35:49
0
jungle :
YESU YUPO NA MNAJUA ILO
2026-10-19 09:37:42
0
punisher :
ulikuwepo wakati anazikwa apo mpaka ututhibitishie kuwa ndio kabuli la yesu
2026-10-18 23:57:11
0
pepechee :
yawezekana nabii Issa wa India sio yule wa israel
2026-10-18 20:45:32
0
moks :
Hukumu Ni nafsi yako pekeako kitu tu nakwambia Ni uokoke before upatane naye siku za mwisho.He is the King Na yeye ndiye hakimu mkuu.
2026-10-19 02:53:26
0
kuta za juu :
uislam si kofia na kanzu peke yake...
2026-10-18 16:45:00
0
Rama Sheshe :
hata kwetu kaburi la yesu lipo...
2026-10-18 18:06:45
0
bigraxoficiel :
tena nakuomba namba kwaajili yamajadiliano kwaupana
2026-10-18 20:26:47
0
user Ahmad "PHD" Doctor :
wewe sema yesu
2026-10-18 20:00:12
0
namasole6 :
pole sana
2026-10-19 09:26:55
0
saifsaify20 :
Subhanallah .astaghfirullah
2026-10-18 18:46:42
0
Bakari Jambiya@7 :
kwaiyo mtume MUHAMMD WWS hakujua kwamba yesu alifia kashimiri
2026-10-18 16:50:57
0
To see more videos from user @muftiibnkaswezi, please go to the Tikwm
homepage.