ila huyo wa milion 300 anachekesha kweli [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Pray][Pray][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-18 18:36:25
0
eagle boy :
ilo lina makucha litakulalua kweli linatisha [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-18 15:42:13
0
meryqueen👑👸 :
Bikra yangu tulia mungu atakupa anae stahili🥰🥰
2026-10-18 15:31:49
56
mwana amina :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]ila uyo watatu upande A me ananichekesha[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-18 17:14:03
2
Godlisten Hernest :
shehh ume tisha
2026-10-18 19:20:49
0
Kevin alex :
kunawakati utafika mtataka ata kwa elfuamsin
2026-10-18 15:51:50
14
Richard670224 :
Bbbbbbbbbb
2026-10-18 18:52:15
0
Fatma :
Katka dini yetu ya kislam mwanaume nilazima utoe mahari km zawadi ya mwanamke mlio kubaliana awe bikra wala sio bikra hiyo haipo ktk dini yetu.kuna wanawake wajane kwahiyo wasiolewe kisa sio bikra tusomeni dini tusijisemee tuu
2026-10-18 19:18:18
1
Last born ✨✨🫥 :
Tuliokimbilia Comment tujuane
2026-10-18 18:20:41
4
I.B👑 :
300M... okay🙌😂😅
2026-10-18 18:13:56
0
Adelina Nyenza :
tusio nampango wandoa haituhusu hii
2026-10-18 18:16:35
4
yule boi sela :
uyo w million miatatu anachekesha jaman
2026-10-18 18:02:24
2
Dijah Nassor :
nashkuru nimelipiwa million 8 sema kiukweli nilikua bado sjatumika ila uyu mume wangu anavonifanya duuh Aya bn😭😭😭
2026-10-18 14:56:29
2
Daddy's fav❤️🦋 :
ila wa million 300😂😂😂
2026-10-18 17:04:25
2
Ibrah Chande tz :
apo kuna mambo hayo✌️
2026-10-18 15:19:52
4
Heroshy 9 :
Ni sawa lkn unaweza ukamkuta mtu ni bikra lkn asiwe na sifa ya kuwa mke so bikra inatolewa siku moja lkn utu ndo kila kitu unaweza ukamkuta siyo bikra lkn akawa na sifa maalumu
2026-10-18 18:16:45
0
Anitha Ismail :
natunza bikira yangu mimi ☺️
2026-10-18 15:24:33
2
A.G.M☠️☠️ :
wange juwa kwamb xx atuna at mpang waku owa
2026-10-18 17:27:15
1
Twenty Six :
shekhe katuwakilisha vema apo
2026-10-18 16:48:54
2
"smart boy" :
siwez kununua matatizo mm using huu😅😅
2026-10-18 18:05:30
0
passion 👑 Asher :
kwa uzuri gani
2026-10-18 19:31:03
0
BREEZY 💯 :
ila shehe eti laki 3😅
2026-10-18 19:24:52
0
Nayla♥️♥️💊💊💊💊💊 :
kumbe ss wengine ndo hutolew mali kbsa
2026-10-18 19:29:03
0
DAVID SAJENTI :
kam ivyo basi tutakosa weng wake
2026-10-18 19:31:41
0
Madofe 55 :
huyo wa chini anachekesha kama sio ndugu yako
2026-10-18 18:56:12
0
To see more videos from user @kindboy107, please go to the Tikwm
homepage.