@yanga.omary6: **** MEN AT WORK MATAJIRI WANGU WA UNIQUE VISION VICOBA ENDELEVU 💪 FURAHA YANGU KAMA MWALIMU WA UNIQUE VISION NIKUTENGEZA WAKINA MWALIMU YANGA WENGI ZAIDI 👏👏👏 MOJA KATI YA MWANACHAMA AMBAYE NIMEFANIKIWA KUMPA ELIMU VICOBA ENDELEVU NA ELIMU YA KUTOA MKOPO KWA WANACHAMA PINDI WANAPOOMBA MIKOPO NA LEO NAANZA KUONA MATUNDA YAKE 💪 KEEP MOVING DADA YANGU AGNESS MASAKA KUSIMAMA MBELE ZA WATU KAMA HIVYO SIO KITU CHEPESI NI UTHUBUTU NA MUNGU 🙌 UNIQUE VISION NI KICOBA AMBACHO WANAKUTANA KWA MWEZI MARA MOJA TU PALE MWENGE NYUMA YA MAGOROFA YA JESHI KWA AGGY POINT 💪 UNIQUE VISION VICOBA ENDELEVU HISA YETU MOJA INAANZIA LAKI MOJA (100,000/=) KWA MWEZI HAKUNA LIMIT ZA KUNUNUA HISA UNAWEZA KUWEKA ZAIDI YA LAKI MOJA NI WEWE NA MALENGO YAKO 💪 TUNAWEKA PIA JAMII NA BIMA AMBAZO ZOTE ZINAANZIA ELFU 25,000/= NAZO PIA UNAWEZA KUWEKA ZAIDI YA ELFU 25,000/= NI WEWE NA MALENGO YAKO NA KIPATO CHAKO KILIVYO KWAHIYO KWA MWEZI KIMA CHA CHINI KUNUNUA HISA, JAMII NA BIMA NI LAKI MOJA NA HAMSINI (150,000/=) UNAWEZA KUWEKA ZAIDI YA LAKI MOJA NA HAMSINI NI WEWE NA MALENGO YAKO 💪 #creatorsearchinsights #fyppppppppppppppppppppppp #fyppppppppppppppppppppppp #viraltiktok #foryou_page_viryou_page_fyp_forpage

Yanga Omary
Yanga Omary
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 14:01:57 GMT
40390
1506
74
76

Music

Download

Comments

gigomarshmello0108
gigo marshmello 🦅🦇🦉 :
😊😊😊 mwanaume una cheza kikoba kweli
2026-10-19 02:47:46
6
josephemma05gmail.com
Tyness Mushi :
kaka umesimama vizuriii kikoba Chenu kizuriiii ila hiyo ya kujifungua toeni kabisaaaa
2026-10-19 11:09:55
2
archangelfree
Glossy Hands :
Dada wa counter anapata ubuyu wote
2026-10-19 04:56:42
1
ezekielphilipo92gmail.c1
ezekielphilipo92@gmail. :
hata mwakan msikubali kaka ss ilileta shida sn maana kuna watu wanazaa duuuh
2026-10-18 18:48:29
3
user82250828037006
GITOMEL's :
kwani hamuandiki muhtasari kaka?
2026-10-19 12:09:11
0
sundu0001
sundu0001 :
sor kaka mwisho wa mwaka mnagawana hisa na faida au faida tu hisa zinabaki kama mtaji..?
2026-10-18 17:56:09
1
saluramour
🇶🇦🇹🇿ابوْ سٓلحٓ/ABUU🐭 :
Tumekubalian hakuna kuchangiana pessa pole na kushirki msiban inatosha maan michango itakua ming mnooo😅😅🙌🙌
2026-10-19 08:57:44
1
prosperstevengakye
Prosper Steven Gakye :
mwnangu imeongea point sana
2026-10-18 21:15:45
1
cellinaleonard59
cellina Leonard 😍🦋🥰🦋 :
Unapatikan wap mn mm Jmn nimwenyekiti lakn watu wangu wanafki atali mbk wananichukia
2026-10-19 08:12:12
0
asiasimba2022
Asya :
Kikoba kikiwa na mambo mengi Huwa sipendi na kukimbiana Huwa mbele
2026-10-19 05:54:43
0
mwanne.juma2
Mwanne Juma :
sie kujifungua mwanachama tuliifutaga mana michango itakuwa mingi sana
2026-10-18 16:27:38
0
ahmadikhatibu6
ahmadikhatibu :
dah kak kitambo kwel
2026-10-18 19:19:46
0
troymachete2
Wis-Smile :
Nakubali kaka
2026-10-18 19:55:10
0
kephasnicholaus
kmollel :
2026-10-18 15:20:50
0
petro.julius
Petro Julius :
mwanaime mh kaz ipo
2026-10-19 03:04:11
0
sundu0001
sundu0001 :
nipo mwanza nilkua na kikundi cha amani vikoba lkn viongozi walikimbia na pesa...yaan napenda sana violation lkn lkn kila nikifilia nakosa aman.. nilipoteza sh mil 16
2026-10-18 17:59:44
0
sundu0001
sundu0001 :
na nikiomba kutoka inachukua muda gani kupata haki zangu..na vipi kuhusu watu wa mikoan mfano mwanza tunaweza kujiunga.?
2026-10-18 18:01:47
0
mwanne.juma2
Mwanne Juma :
sie walizaa kalibu sita tukabsema duuu
2026-10-18 16:28:26
0
armandopereira12
👑⚜️𝑾𝑰𝑳𝑬𝑾𝑰𝑳𝑬12⚜️👑 :
sauti ya mamlaka ifwateeee
2026-10-19 12:07:51
0
kadogoo.79
kadogoo79 :
tulikataaaa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-18 21:43:15
0
roseedward323
Rose Edward :
ivi naizo bia mtaelewana kweli
2026-10-19 10:43:31
0
user2939746952476
user2939746952476 :
Kaka uko smart sana
2026-10-19 11:53:33
0
geee682
Geee628 :
yangu naomba Hy saa kaka
2026-10-19 09:01:27
0
archangelfree
Glossy Hands :
Ushauri tu msiweke kujifungua kuna watu wanazaa kila mwaka 😂
2026-10-19 04:58:14
0
mvpluther27
Mvp Luther Decorations :
chair kanyoola
2026-10-18 20:00:52
0
To see more videos from user @yanga.omary6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About