@dr_daniel_md: Je, wewe ni miongoni mwa watu wanaoruka kifungua kinywa kila siku au wanaoanza siku bila kula chochote? 🫣 Tafiti zimehusisha kuruka kifungua kinywa na ongezeko la hatari ya magonjwa ya moyo na mishipa ya damu, pamoja na vifo vinavyotokana na sababu mbalimbali. Lakini je, hii inamaanisha kila mtu asiyekula asubuhi atapata ugonjwa wa moyo? Na je, kunywa chai pekee kunatosha? 🎯 Tazama video hii hadi mwisho ujifunze kile ambacho tafiti zinaonyesha kuhusu kifungua kinywa, afya ya moyo na maisha yako ya kila siku. Afya yako ni mtaji wako. Usipuuze elimu hii! ❤️ #Afya #AfyaYaMoyo #KifunguaKinywa #ElimuYaAfya #MagonjwaYaMoyo
It is true breakfast is the most important meal of the day
2026-10-18 18:14:21
0
Matilda Simon :
dk skia bhn mm nkkublian n wew ila kun kityu umsahau unajua breakfast iinaez iswe asubuh its a frst meal after fasting fr somee timee
2026-10-18 19:05:59
0
MWAISA HOUSE OF JEANS :
what is breakfast. You can break fast any time not necessarily to break fast in the morning
2026-10-18 16:49:12
0
Noah :
Dr janabi yuko wap?
2026-10-18 16:06:23
0
Tuse Kasitila :
mnatuchanganya
2026-10-18 15:08:36
1
ibra star 🌟 :
kunawakat ssa nahis kuchanganya mambo Elimu ya kula na vyakula kwa ujumula imeleta mkanganyiko, kila mtaaramu anaeleza tofaut na mwenzake, Nazan sas ni wakat wa kila mmoja kutumia akili yake.
2026-10-18 16:03:22
6
Lizard :
wanataka sisi tusiokula asubuhi tupoteze rla zetu tu kukunua visivyo vya lazima hakuna kufa wala nini
2026-10-18 15:25:47
4
,^, The Killer _45*, :
sasa na sisi wanafunzi tunaowai shule Tutakufa[Teary eyed]
2026-10-18 14:51:52
3
madam selina :
Dokta nikiamka tu asubuhi hatua ya kwanza ni kubandika chai jikoni , then nachukua mswaki naoga yaani siwezi siwezi kutoka mlangoni sijala.
Asante sana, mimi mara nyingi sili Asubuhi, naomba kitabu nibadili mfumo
2026-10-18 15:21:51
0
mushi :
Docta wa hosp gani tunaomba kutambuana
2026-10-18 16:14:32
0
yohali b :
munatutchanganya jamani
2026-10-18 20:59:40
0
user76352032452423 :
mbona sioni link
2026-10-18 14:58:59
1
kAKA :
safi
2026-10-18 20:55:05
0
Tuse Kasitila :
hakuna lolote
2026-10-18 15:09:58
0
mushi :
Dr janabi kuna mgeni wko huku
2026-10-18 16:11:21
0
salim :
mm ndio maana elim za mtandaon nazikataa sana maana ukija kwa janab anakwambia asubuh usile mm ndio maana chakula siach ninachokifanya ni mazoez tu bas
2026-10-18 18:54:59
0
Matilda Simon :
hya naomb. kitabu ssa🙏
2026-10-18 19:19:28
0
Mwaliasha +1 3192062498 :
Mbona link ahifunguki ?
2026-10-18 22:53:24
0
The God wine 97 :
mbona mnatuchanganya sasa
2026-10-18 21:42:44
0
Mbithe♥️💵💵 :
Asubui ni saa ngapi,? mpaka saa ngapi?
2026-10-18 22:55:42
0
MAZEE_FLIX🎙️ :
unatufundisha vzur ila haujaandik jina kweny account hapo zinasoma number tu
2026-10-18 19:20:20
0
Dula :
leo sijakubali
2026-10-18 21:34:24
0
To see more videos from user @dr_daniel_md, please go to the Tikwm
homepage.