@ukerewe0: #mwanza #Nansio #tiktokviral #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktok

UKEREWE🇹🇿
UKEREWE🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 14:33:25 GMT
22965
755
352
107

Music

Download

Comments

user3101532962731
oliver :
ila wewe mweu kweli[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-18 18:33:27
0
mrs63790
rosemary🥰🥰🥰🥰 :
ata nikiipata leo na enjoy life
2026-10-18 20:10:00
0
garon.africain6
U F C :
dah enzi zang za 2007 navimba naz school 😅😅😅
2026-10-18 18:56:55
0
editha.james8
Editha James :
mi naona pepsi imeziondoa Ile tununue soda mana wengine tusingejua soda kabisa[Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-18 19:54:12
1
user3682709173090
cute 🥰 :
Bora nyie mm nilikuwa naweka kwenye uji naringa vipi🤣🤣🤣🤣
2026-10-18 17:39:24
39
lucianamasoko
queenle060 :
Ile ya pinaple ndo ilikua balaaa
2026-10-18 18:45:02
11
.mtotowabibi
Mtoto wa Bibi :
2002mpaka 2006
2026-10-18 16:45:02
0
mariam.stephano36
Mariam Stephano :
oooh wawoo
2026-10-18 19:08:31
0
.gabbygr7
@@ Gabby🔥🔥Gr7💪💪 :
kwanza sifa ya hii juice coca-cola packti moja unaweza Koroga ndoo nzima ya juice na mkanywa familia nzima😂😂
2026-10-18 18:53:34
10
jasmini_2020
Jasmini_2020 :
nyumban ilikua tukipika pilau lazma mama atuzimulie iyo juic
2026-10-18 17:25:00
10
maestromelody2
MAESTRO MELODY :
yaan uzuri wa hiyo kitu ilikuwa Inaweza kucheza namba ya sukari kwenye uji ila ni nzur zaid ikitokea Pemben... shida maelekezo yake ety changanya na lita2 za maji ukifayna tu huo ujinga unakunywa vitu vya ajabu😅😂😂😂
2026-10-18 20:38:44
4
happygozbart
happygozbart :
ile ya coca cola ilikuwaga na kauchungu flan ivi😂ila mi nilikuwa naipenda kuilia maembe mabichi😋
2026-10-18 19:31:39
5
jbatistaj0
j batista j :
Jmn nilikua naweka kwenye uji shule😂😂😂😂
2026-10-18 17:29:53
4
peterboy50
peterboy50 :
nakumbuka kipindi hicho bila kikologa hii juice makewe hayapandi au viazi Yani jaman maisha tunatokq kabli ssna
2026-10-18 16:56:02
6
ashura.said86
Ashura Said :
daa mbali nilikuw nakula na vidaka vya maembe saa 10 nyumban kufik saa 12 tunapigwa fimbo na mama ila hatukomi🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-18 19:15:46
2
viki.elena
Viki Elena :
vilikuwa vitu vyangu ivyo kipindi nipo shuleni😂
2026-10-18 19:34:51
2
mela.storetz
mela store.tz :
mimi nilikuwa naloeka mchele alafu nachanganya naa hiyo juswikola iyo ladha sasa utamu paka kisogoni[Brainrot][Brainrot][Brainrot][Brainrot]
2026-10-18 19:26:32
2
mwinga70
mwinga :
nilikuwa nakologa siku za sikukuu na kuweka kwenye chupa zamaji naenda nazo kutembea alafu nawauzia watu chupa moja Mia(100)😂😂
2026-10-18 19:12:44
1
modester.john12
modester john :
jamani hii kitu nyumbani mama alikua anatuwekea kwenye uni wa michembe wee NI kuinjoy tou nmekumbuka nyumbani aisee
2026-10-18 19:23:43
1
user8570319434556
Riah Nyangoma :
mwaka 2006 nikiwa secondary , unatengeneza juise ya matunda afu unaweka iyo kama sukari
2026-10-18 19:11:36
0
elizabethlazaro944
elizabethlazaro944 :
sana tu tena nikiwanaviaz vyangu vyakuchemsha hunambii ktu kbsa😂
2026-10-18 17:49:29
0
nema6838
Richi :
acha tu
2026-10-18 17:50:13
2
sarah.mhame
Sarah Mhame :
daaah umenikumbusha mbal saan,nilikua naweka kweny makande O-level,na makande yanakua matam balaa,tena uipate hii ya coca🤣🤣🤣
2026-10-18 19:04:35
1
fadhili.omary436
Fadhili Omary :
Tupo wengi, me nakumbuka nyumbani tulikuwa tunaitengeneza na kunywa na viazi vitamu.
2026-10-18 16:29:54
3
daniel.masumbuko4
SAUNA MWANZA :
yaaani hiki kwetu ndo ilikuwa kama chai kwa viazi
2026-10-18 15:44:40
1
To see more videos from user @ukerewe0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About