@bluebeamproject: Formular namba moja kwenye uwekezaji wowote ni capital. Huna capital sikushauri uingie tuu kwenye uwekezaji wakati najua hautatoboa, ndio maana wateja wengi tunapokea inquiries zao huwa tunawapa ushauri kwanza na kuwaambia wakajipange kwanza ndio warudi kuuziwa watoto karibuni The BlueBeam Farm for life In God We Trust