@magarimaarufu: Naombeni tuwapongeze @asasrallyteam na kampuni ya #ASAS kwa uwekezaji Mkubwa kwenye Rally #Skoda imekua kipenzi cha watanzania. Naombeni pongezi ziende kwa hawa maboss @ahmed.s.asas @faraj_asas Wana Magari Maarufu naombeni kwa heshima, Muwatag hapa chini watupe skoda tufanyie review. #asasrally #skoda #magarimaarufu
Koenigsegg Jesko Absolut ndiyo top ya gari zenye speed kubwa zaidi
2026-10-18 17:51:23
2
Semboko :
Bakhresa wangeuwa sana humu, sema n vile mzee wao kawakataza mambo ya Rally
2026-10-18 16:02:19
2
Z/A/N T/E/C/H/+ :
sijaona delev mweusi
2026-10-19 09:14:44
0
班傑明 :
asas ana hela sana
2026-10-18 17:17:47
2
AddyBrucks :
Magari yaliyotengenezwa kwa ajili ya barabara za vumbi, matope, na mawe (kama mashindano ya Safari Rally au Tanzania National Rally Championship - TNRC
2026-10-18 18:58:20
1
samil🇹🇿🇰🇪 :
Karaan na manvirr👑
2026-10-19 07:26:15
0
Mr Fixed :
inaenda kwa 1.67 per liter
2026-10-18 17:47:36
1
Kanji Lanjii :
EBU IZUNGUMZIE NA TOYOTA YARISH G,5 AFU ANGALIA JE BEI ZINAENDANA
2026-10-19 09:00:10
0
AYOUB A.BIZO :
Skoda inakimbia vby mno
2026-10-19 08:12:03
0
ELIA GR7 :
kaka iyo ipo kwajili yama shindanotu af ni laflodi bas ila kwa lami inakimbia kawaida
2026-10-19 06:19:28
0
brick by brick :
mlisema aje si eti
2026-10-18 15:16:05
1
Thobias Naubuto :
yameshaisha mashindano
2026-10-18 21:58:50
0
Amady bakari :
sio mchezo kabisa chuma Ina kimbia hatari kabisa yani🔥✋🙌🙌💪✊
2026-10-19 04:16:13
0
Thobias Naubuto :
kwani mashindano yanaanza linu
2026-10-18 21:58:05
0
Thobias Naubuto :
mashindano yanaanza lini
2026-10-18 21:58:32
0
Rogers_Daudi :
Assas hajanunua gari kasajili dereva so ahmed ndo mtu anapeperusha tanzania 🇹🇿 flag toyota yaris 🤣 karan patel kaanza kubeba ubingwa misimu mingi tu kabla ya kuenda assas😏😏😏
2026-10-18 17:17:07
2
BUSSA BUSsA :
we mkwawa umemuacha wapi achauongo gari ya mkwawa inabei kuzidi ya asas
2026-10-18 18:28:39
2
MRMAN🇦🇱 :
kaka mbn unatudanganya sana Wala hazifiki hizo bei
2026-10-18 17:30:54
2
feyzo_16✨⚡⚡ :
mmh umeiyona Serengeti ya mkwawa
2026-10-18 16:35:36
2
FLAY BABY :
sa sibalaaah....
2026-10-18 16:31:38
1
mr winner :
aah msalmie nestorii mwambie arudi kwenye bike
2026-10-18 17:02:28
1
Kanji Lanjii :
wewe toyota yarish G,5,u@meiacha wap na pia mkwawa ndio kaleta uwekezaj mkubwa na yeye ndio mzamin mkuu wa lally ktk mashindano
2026-10-19 08:58:42
0
MRMAN🇦🇱 :
inauzwa uro 38000
2026-10-18 20:13:58
0
To see more videos from user @magarimaarufu, please go to the Tikwm
homepage.