Huyu anafaa kuitwa Muhitimu👍👍
-Seen and seen Education ✅️-Seen and not seen Education
-Not seen and not seen Education
2026-10-19 10:08:43
2
DINA Mwita :
Mm now shule sitaki jaman please mniache kidogo please
2026-10-19 10:54:37
0
lady Gee :
daaah nakuombea mungu akupe wepesi my brooo you will be successor
2026-10-18 20:44:12
23
phina💝🐯✨️ :
uwezi kukosa kazi
2026-10-18 18:11:28
18
jimmy king :
huyu amesoma na ameelimika ....maneno yako yamekufungulia njia..
nakuombea huu mwaka hauishi...utarudi na ushuhuda
2026-10-19 11:36:49
14
Mweru Empire :
umejibu vizur 😂
2026-10-19 09:51:12
7
Jojo baby :
Elimu inatesa sio poah
2026-10-18 16:01:53
26
OfficialPcM :
Mungu ampe wepesi, hajataka kujikweza
2026-10-18 20:19:49
16
shinoun :
respect
2026-10-19 06:43:01
1
Mudytawaleni 1802 :
Huyo jamaa swali ulilomuuliza kuhusu malipo akienda kwenye interview yeyote ile akiulizwa akajibu hivyo huyu lazima aajiliwe amejibu vizuri ambapo wengi wao hawawezi kujibu hivyo 👏 👏 👏
2026-10-19 13:42:01
4
Geof master :
A real man👏👏
2026-10-19 07:28:14
1
felixinho :
jamaa kajibu vzri sana,
2026-10-19 05:23:09
6
mtanga zoka kulu :
mwenetu ana toboa huyu
2026-10-18 21:55:39
7
thekinglaiz1 :
Ubarikiwe sana
2026-10-19 07:30:32
1
Erlic :
Tumuombee tu jamaa apate kazi
2026-10-19 09:18:36
2
Lazaro Nhomondoi :
kazi umepata mwanetu
2026-10-18 21:03:04
5
Bayyo_Katesh :
Hongera dogo hujaropoka. Mshahara una utaratibu wake kulingana na taasisi. Huwezi jipangaia ovyo ovyo
2026-10-19 05:47:07
3
annie :
hongera sana kijana unajielewa sanaaaaa🥰🥰🥰
2026-10-19 15:26:45
0
Richblessbilly :
wew kaz umeshapata
2026-10-19 06:27:07
2
Leokadia Mathias :
Mungu amtangulie uyu kijana katika njia zake zote
2026-10-19 14:16:17
2
Vance boy tz :
safi sana kijana
2026-10-19 04:44:39
2
James _Busabi :
huyu ni bora kuliko elim
2026-10-19 01:18:01
4
makondonyo :
ww umeivaa
2026-10-19 05:44:02
2
Bukenze :
hongera umejibu vzr
2026-10-19 07:00:06
1
💫༺༻𝔇è 𝔍𝔲𝔫𝔦𝔬𝔯༺༻♑️🐐 :
mungu atajaalia job kapata uyu
2026-10-18 20:50:31
3
To see more videos from user @osamakhani04, please go to the Tikwm
homepage.